Mbunge Mstaafu na Mtu Maarufu anahitaji Mchango wa matibabu, wewe unadhani uta survive vipi?

Ungese2 watu wanakufa huku kwa kukosa 5000 mtu milionea achangiwe na nani?
 
Malaria inatibika hata kwa muarobaini tu, hawa ni majizi, frdha yetu wananunulia mishangingi wakati watu wanakufa
Hawa jamaa inafaa ifike stage tuwakatae kwa nguvu tu! Maana hata kukaa kimya haisaidii we will still die of poverty. Bora ufe unapambana tu.

Ikitokea siku kuwa hizo V8 ni zamoto haziendesheki popote ni machafuko ndio tutaheshimiana.
 
Ukumbuke hata Ruge alichangiwa, mzee Majuto naye pia
 
Familia haikuomba mchango Bali wadau waliomba kuisaidia familia.
 
Of course, Prof Jay Ni mwema kabisa.
 
Changamoto zinatofautiana. Ndio maana inabidi tuishi kwa kuheshimiana. Hakuna aliye kamilika kwa kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…