RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Dawa zinaua sana figo, sasa na magonjwa yanavyotuandama kuziepuka ni mtihani.Matumizi ya dawa sugu za bakteria na virusi ndio chanzo pia hata life prolonged use of whisky inachangia tatizo pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dawa zinaua sana figo, sasa na magonjwa yanavyotuandama kuziepuka ni mtihani.Matumizi ya dawa sugu za bakteria na virusi ndio chanzo pia hata life prolonged use of whisky inachangia tatizo pia.
ulishawahi kuona mtu katoka kisa ubunge, si wanahangaika tu mitaani baada ya huo ubunge.Shida ni ubunge au shida ni mtu??
Neema ya Mungu yahitajikaDawa zinaua sana figo, sasa na magonjwa yanavyotuandama kuziepuka ni mtihani.
Naonaga pale Mloganzila mgonjwa anaporuhusiwa ndugu wanavyofanya vikao pale chini vya michango ya kulipa bili ndio mgonjwa atoke.Duh!!, Umasikini kitu Kibaya Sana.Wengi wanakufa kutokana na kushindwa kumudu gharama za matibabu.
kamanda una uhuru wa maoni ila figo ni habari nyingine mungu atupe huruma yake naogopa sana sana. Huku africa hatuwezi hakika Mungu atusimamie, Professor Jay Mungu akuponye uwe mfano wa shuhuda ya mfano. Zaburi 86 ikawa neno la uzima.Nimejiuliza hili swali sana si kwa nia mbaya. Kwa nia njema kabisa. Prof Jay. Joseph Haule amekuwa Mbunge kwa miaka 5 akilipwa mamimilioni ya pesa. Baada ya kumaliza kipindi chake amelipwa mamilioni mengine ya kiinuna mgongo.
Leo ameumwa na kulazwa kwa mwezi mmoja anadai achangiwe. Je yule mswahili ambaye anapata mshahara wa tsh 400,000 kwa mwezi ana mke na watoto. Hana malupulupu, hana mbele wala nyuma. akiumwa inakuaje?
Twende mbele na kurudi nyuma. Joseph Haule si mtu wa kuchangiwa pesa ya matibabu. ni kutaka kutumia umaarufu wake vibaya. sisi watanzania tufikie hatua tuwe makini na watu wenye kufikiri kwa kina. Huyu bwana alipokuwa Mbunge miaka 5 aliwahi fikiria nini kuhusiana na gharama za matibabu?
Kama wenzie sasa hivi hawajali maumivu wanayopata watanzania wa kipato cha chini pengine kwa kudhani hayawahusu. But ipo siku pia nao yanaweza kuwakuta ni vyema kujipanga kwa mambo ambayo ukiwa mbunge na usipokuwa mbunge yanaweza saidia taifa hili.
Tuchangini wenye mahitaji ya kweli kweli ndugu zanguni. Prof J ana weza hata uza moja ya nyumba zake au lake. Ila wewe mwenzangu ukiumwa hutoweza jitibia wala kuchangiwa na watu sababu hufahamiki na huna cha kuuza.
Acha uongo wewe.. muhimbili mgonjwa awezi lazwa chini..Moi tupo mara nyingi tuKuna kijana toka Tanga alivunjika mkono akaletwa Muhimbili ili kufanyiwa operation alitakiwa laki nne na nusu tu. Familia haikua na hiyo hela. Alisota pale Muhimbili kulala chini wodi inanuka vidonda vya majeruhi wa bodaboda hata maji huwezi kunywea mle ndani.
Baada ya kukaa zaidi ya mwezi Alaina liwalo na liwe naenda kutibiwa nyumbani na waganga wa kienyeji. Kweli alittoroka Muhimbili na sasa mkono umepona japo sio kivile. Aliumia kipindi Cha serikali ya wanyonge.
Dah!!!, Inasikitisha sana.Naonaga pale Mloganzila mgonjwa anaporuhusiwa ndugu wanavyofanya vikao pale chini vya michango ya kulipa bili ndio mgonjwa atoke.
Hao ndugu wenyewe ukiwaangalia wengi hata nauli ya mwendo Kasi ya kimara ni shida, wamekauka midomoo.. Sasa Kuna huyo mkuu wa msafara yeye anapiga simu kwa ndugu wa mbali na kile kitecno triple line.
Kuna binti mmoja aliambiwa akalipie elfu kumi na sita ili apigwe x Ray.
Aliruka hatua kumi na sita huku akilalamika ashamchungulia daktari kwa elfu ishirini bado alipie x-ray ndio alipie dawa? Kwani waganga wa jadi wameisha?
Dunia ina Mengi Mkuu, huwezi jua.Shida ni pesa aliyokuwa analipwa kapelekwa wapi, ni mwezi tu tangu augue sitaki kuamini ndani ya mwezi hiyo milioni 5 imemtoa jasho
Dawa zinaua sana figo, sasa na magonjwa yanavyotuandama kuziepuka ni mtihani.
Ngoja siku figo ifeli ndy akili ikukae sawaNimejiuliza hili swali sana si kwa nia mbaya. Kwa nia njema kabisa. Prof Jay. Joseph Haule amekuwa Mbunge kwa miaka 5 akilipwa mamimilioni ya pesa. Baada ya kumaliza kipindi chake amelipwa mamilioni mengine ya kiinuna mgongo.
Leo ameumwa na kulazwa kwa mwezi mmoja anadai achangiwe. Je yule mswahili ambaye anapata mshahara wa tsh 400,000 kwa mwezi ana mke na watoto. Hana malupulupu, hana mbele wala nyuma. akiumwa inakuaje?
Twende mbele na kurudi nyuma. Joseph Haule si mtu wa kuchangiwa pesa ya matibabu. ni kutaka kutumia umaarufu wake vibaya. sisi watanzania tufikie hatua tuwe makini na watu wenye kufikiri kwa kina. Huyu bwana alipokuwa Mbunge miaka 5 aliwahi fikiria nini kuhusiana na gharama za matibabu?
Kama wenzie sasa hivi hawajali maumivu wanayopata watanzania wa kipato cha chini pengine kwa kudhani hayawahusu. But ipo siku pia nao yanaweza kuwakuta ni vyema kujipanga kwa mambo ambayo ukiwa mbunge na usipokuwa mbunge yanaweza saidia taifa hili.
Tuchangini wenye mahitaji ya kweli kweli ndugu zanguni. Prof J ana weza hata uza moja ya nyumba zake au lake. Ila wewe mwenzangu ukiumwa hutoweza jitibia wala kuchangiwa na watu sababu hufahamiki na huna cha kuuza.
Nakumbuka kulikuwa na ofc nafanya Kaz moja Kati ya maboss wa hyo kampuni aliuguwa figo michango ikachagwa na jama Ni doni tu nae siku moja nikasikia majungu kutoka kwa kijna wa boss akisema tunamchangia mtu ambae anajenga nyumba dsm tegeta .. kweli watu wanachangishanaNgoja siku figo ifeli ndy akili ikukae sawa
Unamkumbuka Ruge mtahaba? Bakuli zilivyo pitishwa?
Watu wanafanya masikhara sana na maradhiNakumbuka kulikuwa na ofc nafanya Kaz moja Kati ya maboss wa hyo kampuni aliuguwa figo michango ikachagwa na jama Ni doni tu nae siku moja nikasikia majungu kutoka kwa kijna wa boss akisema tunamchangia mtu ambae anajenga nyumba dsm tegeta .. kweli watu wanachangishana
Umenifikirisha sana...Nchi yetu bado ni masikini sana hatuwezi kuacha kuishi kwa kuchangiana. Hata hao mnaodhani wana pesa nyingi kimsingi ni za kawaida tu. Watu walioyapatia maisha ni wachache sana, ni familia fulani fulani tu. Wengi tunawaona wametoboa lakini nyuma yao kuna utitiri wa majukumu yanayotokana na familia ndugu jamaa na marafiki ambao bado ni masikini.
Ukiona nchi ambayo unahitaji kuwa na mipesa mingi ili upate huduma nzuri za kijamii jua hiyo nchi bado masikini wa kutupwa. Acha tuchangiane ndugu. Yeyote akiletwa mbele ya jamii na ikathibitika anahitaji msaada wanaoguswa acheni wachange.
Kwanza alivunjiwa nyumba,, ikabidi ajenge ingineHiki ni kiwanda cha uongo. Prof hahitaji michango bali michango ndo inakuhitaji Prof. Sio wakati wote tunamchangia mtu kwa sababu hana uwezo bali ni kuonyesha mshikamano wakati wa shida
Ushawahi jiuliza Jasiri muongoza njia ambaye alisifika kwa kupiga dili zote zamoto za 600M mpaka 1B ilikuwaje ikafikia akaanza kuombewa michango ijapokuwa alikuwa mkurugenzi wa Clouds na anashea zake pamoja na mtonyo wake?Umeongea ukweli mchungu ambao wengi hawapendi kuusikia, mtu aliyekuwa akilipwa 12M per month eti leo achangiwe matibabu, vipi walimu wanaolipwa laki 5 wakiumwa hawachangiwi?
Familia iache kujidhalilisha wakomae na matibabu ikishindikana basi Mungu kapanga ila sio kumchangia tajiri matibabu.