Mbunge Mteule wa Nkasi Kaskazini, Aida Khenan (CHADEMA) atoa tamko kuhusu ushindi wake

Mbunge Mteule wa Nkasi Kaskazini, Aida Khenan (CHADEMA) atoa tamko kuhusu ushindi wake

Hii akili huwezi kuipata CCM, wengi wanafikira kwa matumbo
 
Mwenzao Aida khenan ameshinda ubunge kwenye wakati mgumu sana, si Mbowe wala Lisu aliyeenda kumuombea kura huko Nkasi , acha ale maisha tena bila makato ya kuchangia chama.

Ni aibu kubwa sana kwa Mbowe ,Msigwa ,Lema ,Mdee, Sugu kuzidiwa mbinu za medani katika kulinda kura na mtoto mdogo tena mwanamke Aida !
 
Ndo maana tumeamua tuwe na connection! Mshaanza kushikiwa akili na Mbowe!

Tanzania nzima na zaidi viwavi wa CCM ndio mmeshikiwa Akili na Magufuli kwa kuamini kuwa Maendeleo yana kwamishwa na Mawazo ya wapinzani yani ni Ujinga kabisa.
 
Huyu kwake chama ni bora kuliko wananchi waliomwamini kuwawakilisha. Halafu huyu alikuwa mmoja wa vitu maalum kwa Mwenyekiti so ni uamuzi uliotegemewa.

Huyu mama aachie ubunge atasababisha hao wananchi wasipate huduma yoyote maana walishaambiwa ukweli hakuna huduma ukichagua upinzani
 
Huyu dada ni bora aachie tu huo ubunge dunia ione wazi kuwa hii nchi inaendeshwa kidikteta.

Kuna mambo natabiri yatatokea baada ya huu uchaguzi na nina uhakika wa 100%.

1. Sasa waliokuwa wabunge na madiwani wa CHADEMA hawana kazi, Magufuli atataka kutumia hali yao duni ya kifedha ili awarubuni kwa kazi halafu wahamie CCM. Hatofanya hivyo kwa kuwapenda bali ni propaganda ya kuficha madhambi yake na kuionyesha dunia kwamba watu wanamuunga mkono.

2. Tundu Lissu kama kawaida yake hawezi kuhongeka kwa kazi au fedha. Hata ukiacha mambo ya maslahi Tundu Lissu siyo rahisi kukubali kuwa chini ya mtu aliyemzidi sana kwa akili na maarifa.

3. Tegemea watanzania wengi na mataifa ya nje ukiacha nchi za kiafrika kutomuunga mkono Magufuli. Mataifa ya Ulaya na Marekani watakwenda mbali zaidi na kuiwekea vikwazo "serikali" ya Magufuli.
Acha kuota wewe yaani hata picha huoni
 
Mwenzao Aida khenan ameshinda ubunge kwenye wakati mgumu sana, si Mbowe wala Lisu aliyeenda kumuombea kura huko Nkasi , acha ale maisha tena bila makato ya kuchangia chama.

Ni aibu kubwa sana kwa Mbowe ,Msigwa ,Lema ,Mdee, Sugu kuzidiwa mbinu za medani katika kulinda kura na mtoto mdogo tena mwanamke Aida !
Wewe mjinga usichezee akili za werevu.
 
Wametoa mbunge mmoja ili 25% ya viti maalumu viwe vya upinzani na waendelee kuwasimanga bungeni.. Tukumbuke Halima Mdee ni zao la vitu maalumu enzi hizo na CHADEMA hawakuzidi wabunge wanne wakuchaguliwa
 
Nimempenda huyo mdada aisee ana msimamo thabiti sana kuhusu Chadema. Angekuwa ni mmoja wa wale wanasiasa Malaya Malaya angepatwa na kigugumizi.
Hatua njema. Alisema mpambanaji:

"I would rather stay poor."

Kwa hakika:

"She would rather stay poor."
 
Hamna kitu, kwa akili hizo CDM inaenda kubaki jina tu kama TLP.

Mlipo zuia Shughuli za Siasa kwa Miaka mitano kinyume kabisa na Sheria mliamini ni njia sahihi ya kuua upinzani ,kinyume chake wakati wa kampeni ilifikia mkapiga Magoti.Hauwezi kuzuia au kuua upinzani kwa Mitutu ya bunduki au kupindua Meza.Upinzani upo mioyoni mwa Watu na utasubiri sana Chadema kufa.
 
Wabunge wa ccm walivyokuwa wamezoea kuwatukana wabunge wa upinzani bungeni, bunge hili sjui watamsimanga nani
 
Itakavyokuwa
Subwoofer: Kuna mmoja nilimsikia kwakuwa bwana wake anaemkunakuna haji mjengoni, na yeye akaamua kuwatosa wananchi ili abaki mtaani na bwana wake.
Mbogamboga: hhahahahahahaaaaa haloooooooo oooooo. kutosa huko kwiooooo.

##############MyTake
Nenda mjengoni kwa maslahi mapana ya career yako, chama na wananchi wako. Just go.
 
Huyu kwake chama ni bora kuliko wananchi waliomwamini kuwawakilisha. Halafu huyu alikuwa mmoja wa vitu maalum kwa Mwenyekiti so ni uamuzi uliotegemewa.
Akili za kingese hizi. Hivi huwezi kuona kuwa hakukuwa na uchaguzi mwaka huu?
Muwe munafikiri kupitia kichwani sio huko mahala
 
Back
Top Bottom