kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Sitaki nataka unafikiri Lema au Mbowe wangetoa tamko hili!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sitaki nataka unafikiri Lema au Mbowe wangetoa tamko hili!
Aache ulofa akatumikie wananchi walio muamini
Hahaha mmefeli Dada achia ngaz tuAaache ujinga...ana familia.mume na watoto.
Hio familia kaipata usiku wa Jana?siku zote si ameihudumia mpaka leo hii,Aaache ujinga...ana familia.mume na watoto.
Sawa sawa.Ndicho kinacho takiwa kuwa hasa kwa wenye kuzitumia Akili zao sawa sawa ,Uongozi wenye Damu Mikononi haufai ni laana
Mkuu kwani wewe kila sehemu ni kwako? Au umeolewa Nkasi?Ajiuzulu tu turudie uchaguzi tumgaragaze.
Wana Nkassi hatupendi dharau.
Unaumia nn hahahaHuyu kwake chama ni bora kuliko wananchi waliomwamini kuwawakilisha. Halafu huyu alikuwa mmoja wa vitu maalum kwa Mwenyekiti so ni uamuzi uliotegemewa.
[emoji23][emoji23][emoji23] Nimeipenda hiiMtoto wa nyani aliona vichaka vinaungua akawa anaruka na kushangilia ilipofika jioni ndio akajua hana pa kulala.
Aida khenan amebebwa na Mbowe?Kashindwa na mjinga anaebebwa na polisi, tume, TISS, wakurugenzi, kura feki etc.
Huo ni ubinafsi na uchumia tumbo. Siyo wote wana akili kama yako.Aaache ujinga...ana familia.mume na watoto.
Mmekosea sana kumtoa sadaka Ally Kessy. Kulikuwa hamna sababu ya kumnyima ubunge. BTW utamgaragaza vp mtu ambaye hatagombea tena?Ajiuzulu tu turudie uchaguzi tumgaragaze.
Wana Nkassi hatupendi dharau.
Kwani alikuwa anaishije kablaAaache ujinga...ana familia.mume na watoto.
Strategy ingekuwa mbaya ccm wasingeiba kura. Inafanya kazi ndiyo maana imebidi wafanye kazi ya ziada ya udanganyifuHuwezi kuwaachia ngedere shamba. Utavuna mabua!
CHADEMA on the verge of repeating the same mistake. Hii strategy ya kususa mwisho wake huwa ni mbaya - almost always!
Hata aibu huna, hayo makaratasi (mnayoyaita ya kura ) aliyopigwa na huyu Harakaharaka wako pale Lumumba na mengine yakadakwa na kuzagaa mitaani, akina mama wakiyafungia vitumbua ndo wewe unayaita maamuzi ya wengi? Tuna taarifa zote za kulazimishwa kwa walimu (waliosimamia huo uchafuzi) kupitisha kura zilizopigwa huko Lumumba hadi kwenye masanduku ya kura hasa baada ya mawakala wa vyama vya upinzani kuzuiliwa kuingia vituoni ama kutolewa kwa nguvu. Huna aibu kutambia uchaguzi wa hovyo kama huu aisee!Bahati mbaya yote unayotaka na CHADEMA yako Watanzania tumeyakataa katika box la kura. Demokrasia ni kuheshimu maamuzi ya wengi.
Ndio maana mwenyekiti uwa anawakula,anawaona wajinga wananchi waliomchagua....Aaache ujinga...ana familia.mume na watoto.