Mbunge Mteule wa Nkasi Kaskazini, Aida Khenan (CHADEMA) atoa tamko kuhusu ushindi wake

Mbunge Mteule wa Nkasi Kaskazini, Aida Khenan (CHADEMA) atoa tamko kuhusu ushindi wake

Ukisoma comments za watu humu ndipo unaweza kujua aina ya watu wanaojua kilichotokea na kinachotokea hasa kwenye uchaguzi huo uliobakwa.
 
Huwezi kuwaachia ngedere shamba. Utavuna mabua!

CHADEMA on the verge of repeating the same mistake. Hii strategy ya kususa mwisho wake huwa ni mbaya - almost always!

KAMA NI MBWAI NA IWE MBWAI!!
 
Aache ulofa akatumikie wananchi walio muamini
Huyu dada alikuwa mbunge wa viti maalum. Siyo mara ya kwanza kuwa mbunge na hivyo sioni ugumu kwake ku sacrifice hiyo nafasi kwa ajili ya kusimamia anachokiamini
 
Aache huo ujinga aende bungeni sasa aligombea ili iweje naye kumbe Hana akili na nyie chadema acheni kumshinikiza huyo dada eti aache ubunge kwahyo kina mbowe walivokuwa wabunge haikuwa udhalimu.
 
Huyu kwake chama ni bora kuliko wananchi waliomwamini kuwawakilisha. Halafu huyu alikuwa mmoja wa vitu maalum kwa Mwenyekiti so ni uamuzi uliotegemewa.
Kanisikitisha Sana huyu mteuliwa ka dispoint wananchi walio mchagua
 
Huwezi kuwaachia ngedere shamba. Utavuna mabua!

CHADEMA on the verge of repeating the same mistake. Hii strategy ya kususa mwisho wake huwa ni mbaya - almost always!
Utafanye kosa juu ya makosa wakati dhamira inakusuta?
 
Aache huo ujinga aende bungeni sasa aligombea ili iweje naye kumbe Hana akili na nyie chadema acheni kumshinikiza huyo dada eti aache ubunge kwahyo kina mbowe walivokuwa wabunge haikuwa udhalimu.
Kwa yeye hakuwa mbunge? Acha mihemko au umemjua leo baada ya kushinda?
 
Aache huo ujinga aende bungeni sasa aligombea ili iweje naye kumbe Hana akili na nyie chadema acheni kumshinikiza huyo dada eti aache ubunge kwahyo kina mbowe walivokuwa wabunge haikuwa udhalimu.
Kwa yeye hakuwa mbunge? Acha mihemko au umemjua leo baada ya kushinda
Kanisikitisha Sana huyu mteuliwa ka dispoint wananchi walio mchagua
Ccm wanasikitika kuliko wana Nkasi na chadema🤣🤣🤣 anyway..pole sana. Meza tembe mbili za panadol za pakti ya blister ili kupunguza masikitiko😊
 
Bahati mbaya yote unayotaka na CHADEMA yako Watanzania tumeyakataa katika box la kura. Demokrasia ni kuheshimu maamuzi ya wengi.

Kuna tofauti kubwa baina ya sanduku la kura na sanduku la wizi.

Wewe unaongelea sanduku la wizi jombi. Huoni si bashiri wala chakubanga waliojitokeza hata kuonyesha nyuso zao tu hadharani?

"The guilty are always afraid.'
 
Back
Top Bottom