Mbunge Musukuma aambiwe kuwa pesa sio mbadala wa elimu

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
14,588
Reaction score
32,361
Inasikitisha sana kuona mbunge wa bunge la JMT akiibeza elimu kwa kudhani kuwa na pesa ni mbadala wa elimu. Hizi kauli za mtu kama Kasheku zinafifisha kabisa malengo ya watanzania kujikomboa kupitia elimu. Kasheku na baadhi ya watu hudhani kuwa na hela nyingi ndo tayari unakuwa umepata mbadala wa elimu kitu ambacho sio kabisa. Kasheku hajui kwamba serikali inaweza kununua vifaa tiba vya kila aina ila bila wataalamu wa kuvitumia vikaishia kukaa stoo?

Taifa haliwezi kuendelea kwa kudhani hawa matajiri uchwara wa biashara za uchuuzi wa bidhaa za China ndo wataleta maendeleo. Maendeleo ya kweli yataletwa kwa kuzalisha na kuuza zaidi nje bidhaa na huduma. Hilo haliwezi kufanikiwa kama hatutakuwa na wataalamu wetu wa kufanikisha hayo.

Mbunge Kasheku anapaswa kupuuzwa na kushauriwa kurudi shule. Kuwabeza wasomi ni laana kwa taifa.
 
Akili za CCM
 
Mimi nilidhani unatupa mbadala wa pesa kama pesa sio mbadala wa elimu basi mbadala wa pesa ni nini?
 
Mbunge Kasheku anapaswa kupuuzwa na kushauriwa kurudi shule. Kuwabeza wasomi ni laana kwa taifa.
Anawabeza kwa sababu hawana ajira na hawawapi ajira wangepewa ajira asingenyanyuka kuwabeza mtaani kumefurika vijana wasio na ajira wasio na kazi unafikiri alieishia darasa la pili akafanikiwa kwa kufuga ng'ombe atasemaje kuhusu waliosoma na hawana ajira yaan elimu yao imewasaidia nini wamesoma wamepoteza miaka mingi darasani sasa hawana ajira hawana kazi lazima akuulize elimu ina umuhimu gan hapo?
 
Wewe ni msukuma?
 
Inasikitisha sana kuona mbunge wa bunge la JMT akiibeza elimu kwa kudhani kuwa na pesa ni mbadala wa elimu. Hizi kauli za mtu kama Kasheku zinafifisha kabisa malengo ya watanzania kujikomboa kupitia elimu. Kasheku na baadhi ya watu hudhani kuwa na hela nyingi ndo tayari unakuwa umepata mbadala wa elimu kitu ambacho sio kabisa. Kasheku hajui kwamba serikali inaweza kununua vifaa tiba vya kila aina ila bila wataalamu wa kuvitumia vikaishia kukaa stoo?

Taifa haliwezi kuendelea kwa kudhani hawa matajiri uchwara wa biashara za uchuuzi wa bidhaa za China ndo wataleta maendeleo. Maendeleo ya kweli yataletwa kwa kuzalisha na kuuza zaidi nje bidhaa na huduma. Hilo haliwezi kufanikiwa kama hatutakuwa na wataalamu wetu wa kufanikisha hayo.

Mbunge Kasheku anapaswa kupuuzwa na kushauriwa kurudi shule. Kuwabeza wasomi ni laana kwa taifa.
Huyo dawa yake mbona ipo, yaani siku akiugua let say hata akipata ajali au siku akiwa na issue TRA ndipo atajua umuhimu wa elimu. Anasubiliwa kwa hamu
 
Inasikitisha sana kuona mbunge wa bunge la JMT akiibeza elimu kwa kudhani kuwa na pesa ni mbadala wa elimu. Hizi kauli za mtu kama Kasheku zinafifisha kabisa malengo ya watanzania kujikomboa kupitia elimu. Kasheku na baadhi ya watu hudhani kuwa na hela nyingi ndo tayari unakuwa umepata mbadala wa elimu kitu ambacho sio kabisa. Kasheku hajui kwamba serikali inaweza kununua vifaa tiba vya kila aina ila bila wataalamu wa kuvitumia vikaishia kukaa stoo?

Taifa haliwezi kuendelea kwa kudhani hawa matajiri uchwara wa biashara za uchuuzi wa bidhaa za China ndo wataleta maendeleo. Maendeleo ya kweli yataletwa kwa kuzalisha na kuuza zaidi nje bidhaa na huduma. Hilo haliwezi kufanikiwa kama hatutakuwa na wataalamu wetu wa kufanikisha hayo.

Mbunge Kasheku anapaswa kupuuzwa na kushauriwa kurudi shule. Kuwabeza wasomi ni laana kwa taifa.
Kama ana PhD na hajasoma yeye asemeje?
 
Attachments

  • VID-20250103-WA0025.mp4
    15 MB
Ungesikiliza interview yake ukaangalua na mazingira halisi basi anasema ukweli 100%
Vijana hawana ajira na vyuoni kila mwaka wanafurika, kwa mimi ningependa atoe mbadala wa elimu na sio kuponda waliosoma na hawana pesa ikiwa kwamba yeye hakusoma ila ana pesa, debate hii haifi education is better than money or money is better than education, mimi nilikaa upande wa pili ila nililazimika kusoma ili elimu isinipite
 
CCM inapenda wasomi,wajute ili wakome may be
Wanajenga maveta sijui mavyuo na mashule kibao okay fine wapate haya hawa wote mnaowasomesha wakimaliza mnawapeleka wapi? Au ndio mnaishia kuwapaka kinyesi kwamba wamesoma ila ajira hawana wanakaa tu mtaani wanakula msoto mkali ajira hazieleweki? Wataajiriwa na nani au hamuwaoni jinsi walijazana mtaani? Nyinyi ni kugonga cheers na kustaafu hamtaki? Emotional
 
Inasikitisha sana kuona mbunge wa bunge la JMT akiibeza elimu kwa kudhani kuwa na pesa ni mbadala wa elimu. Hizi kauli za mtu kama Kasheku zinafifisha kabisa malengo ya watanzania kujikomboa kupitia elimu. Kasheku na baadhi ya watu hudhani kuwa na hela nyingi ndo tayari unakuwa umepata mbadala wa elimu kitu ambacho sio kabisa. Kasheku hajui kwamba serikali inaweza kununua vifaa tiba vya kila aina ila bila wataalamu wa kuvitumia vikaishia kukaa stoo?

Taifa haliwezi kuendelea kwa kudhani hawa matajiri uchwara wa biashara za uchuuzi wa bidhaa za China ndo wataleta maendeleo. Maendeleo ya kweli yataletwa kwa kuzalisha na kuuza zaidi nje bidhaa na huduma. Hilo haliwezi kufanikiwa kama hatutakuwa na wataalamu wetu wa kufanikisha hayo.

Mbunge Kasheku anapaswa kupuuzwa na kushauriwa kurudi shule. Kuwabeza wasomi ni laana kwa taifa.
Ndiyo maana kiwango cha elimu isiyokuwa ya kuunganisha kinatakiwa kitamkwe kwenye sifa za ubunge.
 
Mpaka pale elimu itakapopewa heshima bila hivyo wenye elimu na waliosoma wasiokua na maendeleo yoyote kiuchumi wanaonekana mafala tu, hicho ndicho alichomaanisha wewe km umesoma na uchumi wako haueleweki wewe ni Fala, pardon my language ila huo ndio ukweli mchungu
 
Back
Top Bottom