Mbunge Pauline Gekul ahojiwa Polisi na kupewa dhamana, karudi nyumbani kwake

Dogo alikutwa na sumu, anataka kuweka kwenye chakula, aue watu aharibu biashara yake.
 
Dogo alikutwa na sumu, anataka kuweka kwenye chakula, aue watu aharibu biashara yake.
Aisee hiyo hatari sana.

Sasa mbona kwengine nimesoma sijui katumwa kuchota mchanga akaroge.

Huo upande wa pili utoke uelezee ni nini hasa alichofanya huyo dogo.
 
Polisi wasiwe na double standard ,ingawa kosa lake lina dhamana lakini hii issue ina public interest kwa usalama wake(Hata mwenyewe anahofia) ilibidi ahifadhiwe sehemu salama.
Wewe mwenyewe ushasema kosa lina dhamana πŸ˜‚πŸ˜‚
Mnatumia hisia zaidi
 
Kama ni kweli anahusika kumfanyia unyama wa kumuingizia chupa sehemu ya haja kubwa yule kijana ,ni vema Sheria imhukumu maana ule sio ubinadamu hata kidogo
 
Kama ni kweli anahusika kumfanyia unyama wa kumuingizia chupa sehemu ya haja kubwa yule kijana ,ni vema Sheria imhukumu maana ule sio ubinadamu hata kidogo
CCM kuna unyama hakuna ubinadamu ndiyo unaona watetezi wengi wa huu ushenzi
 
Huyu mama atakuwa hana mume wa kumdinya. Mwanamke akikosa kudinywa kwa muda mrefu anakuwa na kisabengo kama mbwa jike aliye kwenye joto.....atahangaika hadi apate wa kumdinya.
 
"All animals are equal, but some animals are more equal than others"
Naona unanikumbusha Categorical Syllogism..kipindi hicho Seminary napambana kuwa Padre Dah!

Saivi ndo basi tena nishakuwa honja-honja FC
 
Kuna baadhi ya tuhuma ,mtuhumiwa hapewi dhamana.
Yes mfano mtuhumiwa wa kesi za 1st degree murders, hapewi dhamana kwa usalama wake ili t he bereaved family wasije waka retaliate!. Makosa yote ya capital punishment kama treason, murder, uhujumu uchumi, unyang'anyi wa kutumia silaha, ubakaji na terrorism.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…