trudie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 3,668
- 8,745
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anaogopa kuchangamana na wapiga kura wake ?[emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anaogopa kuchangamana na wapiga kura wake ?[emoji2]
Dogo alikutwa na sumu, anataka kuweka kwenye chakula, aue watu aharibu biashara yake.Mama wa hovyo kweli, yaani sababu za kijinga, imani za kishirikina kama huo ndio ukweli wenyewe kuna sababu za kuumizana kweli.
Mtu akiroga na we si unaroga kama unaamini uchawi upo. Nchi nzima watu wanalogana kila siku, wabunge karibu wote walogaji hadi kufika hapo. Kipi kipya hadi atende ukatili.
Aisee hiyo hatari sana.Dogo alikutwa na sumu, anataka kuweka kwenye chakula, aue watu aharibu biashara yake.
Asikie uchungu[emoji1787][emoji1787]unaweza shangaa anaikatia viuno chupa.Huwezi jua ndo maana akaona nae kijana awe memba wa anachokutana nacho [emoji1787][emoji1787]Natamani nim bandike chupa naye apate uchungu wa alicho fanya, dadek! [emoji16]
Nia yao ilikuwa ni kuweka sumu kwenye chakula, na kuchota mchanga kupeleka kwa mganga, hiyo ndio kazi waliyotumwa waifanyeAisee hiyo hatari sana.
Sasa mbona kwengine nimesoma sijui katumwa kuchota mchanga akaroge.
Huo upande wa pili utoke uelezee ni nini hasa alichofanya huyo dogo.
Chupa gani mkuu?Natamani nim bandike chupa naye apate uchungu wa alicho fanya, dadek! 😁
Tena inatakiwa hiyo chupa isiwe imefunuliwa kizibo.Natamani nim bandike chupa naye apate uchungu wa alicho fanya, dadek! 😁
Ukishamuwekea mtu sumu kwenye chakula unaenda kwa mganga kufanya Nini tena? Punguza utoto dogo.Nia yao ilikuwa ni kuweka sumu kwenye chakula, na kuchota mchanga kupeleka kwa mganga, hiyo ndio kazi waliyotumwa waifanye
La kwako ndiyo limegoma kurudi limebakia bwanga tu kudadadadeqSo wana buy time rinda la bwana Hashimu lirudi
Wewe mwenyewe ushasema kosa lina dhamana 😂😂Polisi wasiwe na double standard ,ingawa kosa lake lina dhamana lakini hii issue ina public interest kwa usalama wake(Hata mwenyewe anahofia) ilibidi ahifadhiwe sehemu salama.
Huku mtaani wameomba nikuulize. Kile kitendo ungefanyiwa wewe, je ungetoa jibu jepesi kama hilo?Dhamana ni haki ya mtuhumiwa!.
P
CCM kuna unyama hakuna ubinadamu ndiyo unaona watetezi wengi wa huu ushenziKama ni kweli anahusika kumfanyia unyama wa kumuingizia chupa sehemu ya haja kubwa yule kijana ,ni vema Sheria imhukumu maana ule sio ubinadamu hata kidogo
Unaenda kwa mganga ili usikamatwe., unadhani majambazi wanaenda kwa mganga kufanya nini? si ili wasikamatwe?Ukishamuwekea mtu sumu kwenye chakula unaenda kwa mganga kufanya Nini tena? Punguza utoto dogo.
Safi sana, tena aingiziwe chupa ya chai ili ikatengeneze fistula.Natamani nim bandike chupa naye apate uchungu wa alicho fanya, dadek! 😁
😄😄😄😄😄😄😄😄Ukishamuwekea mtu sumu kwenye chakula unaenda kwa mganga kufanya Nini tena? Punguza utoto dogo.
Huyu mama atakuwa hana mume wa kumdinya. Mwanamke akikosa kudinywa kwa muda mrefu anakuwa na kisabengo kama mbwa jike aliye kwenye joto.....atahangaika hadi apate wa kumdinya.Taarifa hii ni kwa mujibu wa Martin Maranja Masese kupitia mtandao wa X, habari ikimuhusu Pauline Gekul.
Kaandika hivi:
"Mbunge wa Babati Mjini (CCM), Pauline Gekul kadhaminiwa polisi Babati, karudi nyumbani kwake kupumzika baada ya kuhojiwa, lakini anasema anahofia usalama wake.. kwani Gekul anatakaje? Tumpelekee chupa za Coca-Cola zimlinde?"
Kabla ya hapo aliandika...
PAULINE GEKUL hadi muda huu saa 20:50 usiku EAT, anaendelea kushikiliwa na jeshi la polisi mkoa wa Manyara, pichani akiwa ofisi za RCO - Manyara.
Kamanda wa polisi Manyara, GEORGE KATABANZI amegoma kutoa maelezo ya ziada ya kwanini anashikiliwa, amesisitiza ni taratibu za upelelezi. Taarifa nyingine ni kwamba katibu wa Pauline Gekul anayeitwa HUSSEIN S. ABRIMA na vijana wawili walioshiriki utesaji ule, wanashikiliwa polisi.
Taarifa tulizonazo ni kwamba jalada lililofunguliwa polisi ni malalamiko ya Pauline Gekul kutaka kuuwawa na siyo malalamiko ya Hashimu Philemon.Afande George Katabanzi, tunataka kuona haki ya Hashimu inapatikana polisi. Watanzania tupo tayari kuchanga fedha akapimwe hospitali za kisasa.
Tunakwenda kumpima kupata ushahidi wa kitabibu wa kumuingizia chupa makalioni Hashimu. Mnachelewesha ili ku-buy time eeh? Tumeshtuka.Tutafungua kesi mbili kama hamtaki kumshtaki Pauline GEKUL.
Tutafungua kesi ya jinai, madai na kikatiba na tutaomba tafsiri ya mahakama kuu.Tunao mawakili wa kutosha. Jopo linaongozwa Manyara na Wakili Thadei, Wakili Madeleka na mawakili wengine. Hatutaki kona-kona katika hili.
Pia soma >>>
1. Mbunge Pauline Gekul Akamatwa na Jeshi la Polisi Akijaribu Kutoroka Nchini Kuelekea nchini Kenya
2. Naibu Waziri na Mbunge Pauline Gekul adaiwa kumfanyia Ukatili wa Kimwili Mtoto
Dhamana ni haki ya mtuhumiwa!.
P
Naona unanikumbusha Categorical Syllogism..kipindi hicho Seminary napambana kuwa Padre Dah!"All animals are equal, but some animals are more equal than others"
Yes mfano mtuhumiwa wa kesi za 1st degree murders, hapewi dhamana kwa usalama wake ili t he bereaved family wasije waka retaliate!. Makosa yote ya capital punishment kama treason, murder, uhujumu uchumi, unyang'anyi wa kutumia silaha, ubakaji na terrorism.Kuna baadhi ya tuhuma ,mtuhumiwa hapewi dhamana.