Mbunge Pauline Gekul akamatwa na Jeshi la Polisi akijaribu kutoroka nchini kuelekea nchini Kenya

Chuki binafsi hizi hazina mashiko
 
awezi kuachiwa nchi yetu haipo hivyo linapo kuja swala la kunyoana wenyewe kwa wenyewe...huyo atanyolewa na chupa 😭😭😭😭
Kwa nchi hii kila kitu kinawezekana, kama gaidi Mbowe aliachiwa hata gaidi Paulina anaweza kuachiwa pia.
 
Duh,anakwenda kwenye shuguli zake za kawaida baada ya kumsokomeka
Bwana mdg chupa mknd siyo
Unaonaje serikali wamuachie tu
Mbona kusokomekana chupa mkndn
Ni jambo la kawaida tu

Ova
Kama tukio hilo ni kweli, then PT wange issue arrest warrant na wahusika wakamatwe.
Mtu yuko free kwenda popote, mtu yoyote anapokwenda popote ni anakwenda na sio anatoroka.
P
 
Pauline Gekul ,atajijengea heshima akijiuzuru ubunge na nyadhifa zingine,ili kupisha Uchunguzi. Hii italeta heshima kwa Chama chake na Wapiga kura wake.Mtu mwenye busura nguo ikivuka una,chutama.tukio hili limempaka matope Pauline.Sijui yeye mwenyewe analichukuliaje?
 
Kama tukio hilo ni kweli, then PT wange issue arrest warrant na wahusika wakamatwe.
Mtu yuko free kwenda popote, mtu yoyote anapokwenda popote ni anakwenda na sio anatoroka.
P
polisi wajikamate? kumbuka huyo kijana alipelekwa polisi na polisi waliendelea kumtesa, sasa ppolisi wa issue arest warrant ya kujikamata?
 

Afu kwanini dogo haendi kufungua jarada polisi dogo nae nafail
 
Hapotezi kitu. Ni upepo tu.
 
Upo kwenye nafasi ya kuongoza umma matumizi ya Katiba na sheria, na bado unavunja sheria, wakati ilibidi uwe mfuasi namba 1 wa katiba na sheria . Ni ajabu sana. Anatia hasira basi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…