Mbunge Pauline Gekul akamatwa na Jeshi la Polisi akijaribu kutoroka nchini kuelekea nchini Kenya

Mbunge Pauline Gekul akamatwa na Jeshi la Polisi akijaribu kutoroka nchini kuelekea nchini Kenya

With a rotten system, Mwisho wa movie lazima ataachiwa huru tu. Manakumbuka Kigwangala aliwahi kutuhumiwa kumpiga mtu risasi ya mguu? Nini kiliendelea? Bashite na Sabaya wapo uraiani na kulikuwa na evidence za uhalifu hadi footage za CCTV camera. Msitarajie jipya hapo, baada ya Wiki moja hili sakata litasahaulika
Chuki binafsi hizi hazina mashiko
 
Duh,anakwenda kwenye shuguli zake za kawaida baada ya kumsokomeka
Bwana mdg chupa mknd siyo
Unaonaje serikali wamuachie tu
Mbona kusokomekana chupa mkndn
Ni jambo la kawaida tu

Ova
Kama tukio hilo ni kweli, then PT wange issue arrest warrant na wahusika wakamatwe.
Mtu yuko free kwenda popote, mtu yoyote anapokwenda popote ni anakwenda na sio anatoroka.
P
 
Pauline Gekul ,atajijengea heshima akijiuzuru ubunge na nyadhifa zingine,ili kupisha Uchunguzi. Hii italeta heshima kwa Chama chake na Wapiga kura wake.Mtu mwenye busura nguo ikivuka una,chutama.tukio hili limempaka matope Pauline.Sijui yeye mwenyewe analichukuliaje?
 
Kama tukio hilo ni kweli, then PT wange issue arrest warrant na wahusika wakamatwe.
Mtu yuko free kwenda popote, mtu yoyote anapokwenda popote ni anakwenda na sio anatoroka.
P
polisi wajikamate? kumbuka huyo kijana alipelekwa polisi na polisi waliendelea kumtesa, sasa ppolisi wa issue arest warrant ya kujikamata?
 
Tayari yuko mikononi mwa POLISI anaendelea kushikiliwa na jeshi la polisi mkoa wa Manyara, pichani akiwa ofisi za RCO - Manyara.

Kamanda wa polisi Manyara, GEORGE KATABANZI amegoma kutoa maelezo ya ziada ya kwanini anashikiliwa, amesisitiza ni taratibu za upelelezi.

Taarifa nyingine ni kwamba katibu wa Pauline Gekul anayeitwa HUSSEIN S. ABRIMA na vijana wawili walioshiriki utesaji ule, wanashikiliwa polisi.

Taarifa tulizonazo ni kwamba jalada lililofunguliwa polisi ni malalamiko ya Pauline Gekul kutaka kuuwawa na siyo malalamiko ya Hashimu Philemon.

Afande George Katabanzi, tunataka kuona haki ya Hashimu inapatikana polisi. Watanzania tupo tayari kuchanga fedha akapimwe hospitali za kisasa.

Tunakwenda kumpima kupata ushahidi wa kitabibu wa kumuingizia chupa makalioni Hashimu. Mnachelewesha ili ku-buy time eeh? Tumeshtuka.

Tutafungua kesi mbili kama hamtaki kumshtaki Pauline GEKUL. Tutafungua kesi ya jinai, madai na kikatiba na tutaomba tafsiri ya mahakama kuu.

Tunao mawakili wa kutosha. Jopo linaongozwa Manyara na Wakili Thadei, Wakili Madeleka na mawakili wengine. Hatutaki kona-kona katika hili.

MMM, Martin Maranja Masese

Afu kwanini dogo haendi kufungua jarada polisi dogo nae nafail
 
Dunia hii ni ya ajabu sana sisi tunapigania chakula kwa familia zetu kuna wengine wana kila kitu ila kiburi tu kinawaponza angejua wenzake tunavyotamani alivyokuwa navyo angetulia na kumshukuru mungu, kaibiwa vitu vya thamani ndogo tu nina uhakika angeweza kumuachia mungu akatoa sadaka au aache sheria ichukue mkondo wake matokeo yake unapoteza kila kitu kisa kiburi
Hapotezi kitu. Ni upepo tu.
 
Upo kwenye nafasi ya kuongoza umma matumizi ya Katiba na sheria, na bado unavunja sheria, wakati ilibidi uwe mfuasi namba 1 wa katiba na sheria . Ni ajabu sana. Anatia hasira basi tu.
 
Back
Top Bottom