Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Tokea nije duniani na kuwafahamu kila Massawe na kuishi nao, wewe umekuwa wa kwanza kumshuhudia kuwa ni "Massawe" mpuuzi, hivyo upuuzweMadereka nae tumwingizie chupa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tokea nije duniani na kuwafahamu kila Massawe na kuishi nao, wewe umekuwa wa kwanza kumshuhudia kuwa ni "Massawe" mpuuzi, hivyo upuuzweMadereka nae tumwingizie chupa
Puuza ila madereka ni tapeli tu na bwege mwenzioTokea nije duniani na kuwafahamu kila Massawe na kuishi nao, wewe umekuwa wa kwanza kumshuhudia kuwa ni "Massawe" mpuuzi, hivyo upuuzwe
Chuki binafsi hizi hazina mashikoWith a rotten system, Mwisho wa movie lazima ataachiwa huru tu. Manakumbuka Kigwangala aliwahi kutuhumiwa kumpiga mtu risasi ya mguu? Nini kiliendelea? Bashite na Sabaya wapo uraiani na kulikuwa na evidence za uhalifu hadi footage za CCTV camera. Msitarajie jipya hapo, baada ya Wiki moja hili sakata litasahaulika
nimekudanganya nini...?Kwanini unapenda kuwa muongo kama vile ni wewe peke yako unaishi kwenye hii nchi?!
🤣🤣🤣🤣🤣Type mfano
Kwa nchi hii kila kitu kinawezekana, kama gaidi Mbowe aliachiwa hata gaidi Paulina anaweza kuachiwa pia.awezi kuachiwa nchi yetu haipo hivyo linapo kuja swala la kunyoana wenyewe kwa wenyewe...huyo atanyolewa na chupa 😭😭😭😭
Huyo Mbowe ugaidi alifanyia kwa babako?Kwa nchi hii kila kitu kinawezekana, kama gaidi Mbowe aliachiwa hata gaidi Paulina anaweza kuachiwa pia.
Kama tukio hilo ni kweli, then PT wange issue arrest warrant na wahusika wakamatwe.Duh,anakwenda kwenye shuguli zake za kawaida baada ya kumsokomeka
Bwana mdg chupa mknd siyo
Unaonaje serikali wamuachie tu
Mbona kusokomekana chupa mkndn
Ni jambo la kawaida tu
Ova
Weeeeeeee kumbe!Ana depression ya kukatwa antena akiwa mdogo
Daah yaani hapa ndo kaharibu kabisa !! Nahisi hata huko ofisini wadosi watakua wanamcheka na kumshangaa !!
Wakati mwingine ukifanya makosa tulia subiri upepo upite na upambane nao hivyo hivyo
Wapo wengi tu Ditopile dereva wa Dalala, Mzee wa Vicente Chenge dereva Bajaji na abiria wake...hamna haki bongo hii.tena waliwauwa kabisa.awezi kuachiwa nchi yetu haipo hivyo linapo kuja swala la kunyoana wenyewe kwa wenyewe...huyo atanyolewa na chupa 😭😭😭😭
polisi wajikamate? kumbuka huyo kijana alipelekwa polisi na polisi waliendelea kumtesa, sasa ppolisi wa issue arest warrant ya kujikamata?Kama tukio hilo ni kweli, then PT wange issue arrest warrant na wahusika wakamatwe.
Mtu yuko free kwenda popote, mtu yoyote anapokwenda popote ni anakwenda na sio anatoroka.
P
Una uhakika kama polisi hawaja issue arrest warrant?Kama tukio hilo ni kweli, then PT wange issue arrest warrant na wahusika wakamatwe.
Mtu yuko free kwenda popote, mtu yoyote anapokwenda popote ni anakwenda na sio anatoroka.
P
Toka tukio limetokea ni more than 7 days, kama polisi walikuwa wana nia to prosecute, arrest warrant would have been issued long ago.Una uhakika kama polisi hawaja issue arrest warrant?
Tayari yuko mikononi mwa POLISI anaendelea kushikiliwa na jeshi la polisi mkoa wa Manyara, pichani akiwa ofisi za RCO - Manyara.
Kamanda wa polisi Manyara, GEORGE KATABANZI amegoma kutoa maelezo ya ziada ya kwanini anashikiliwa, amesisitiza ni taratibu za upelelezi.
Taarifa nyingine ni kwamba katibu wa Pauline Gekul anayeitwa HUSSEIN S. ABRIMA na vijana wawili walioshiriki utesaji ule, wanashikiliwa polisi.
Taarifa tulizonazo ni kwamba jalada lililofunguliwa polisi ni malalamiko ya Pauline Gekul kutaka kuuwawa na siyo malalamiko ya Hashimu Philemon.
Afande George Katabanzi, tunataka kuona haki ya Hashimu inapatikana polisi. Watanzania tupo tayari kuchanga fedha akapimwe hospitali za kisasa.
Tunakwenda kumpima kupata ushahidi wa kitabibu wa kumuingizia chupa makalioni Hashimu. Mnachelewesha ili ku-buy time eeh? Tumeshtuka.
Tutafungua kesi mbili kama hamtaki kumshtaki Pauline GEKUL. Tutafungua kesi ya jinai, madai na kikatiba na tutaomba tafsiri ya mahakama kuu.
Tunao mawakili wa kutosha. Jopo linaongozwa Manyara na Wakili Thadei, Wakili Madeleka na mawakili wengine. Hatutaki kona-kona katika hili.
MMM, Martin Maranja Masese
Kwa ushahidi upi zaidi ya ile audio?awezi kuachiwa nchi yetu haipo hivyo linapo kuja swala la kunyoana wenyewe kwa wenyewe...huyo atanyolewa na chupa 😭😭😭😭
Hapotezi kitu. Ni upepo tu.Dunia hii ni ya ajabu sana sisi tunapigania chakula kwa familia zetu kuna wengine wana kila kitu ila kiburi tu kinawaponza angejua wenzake tunavyotamani alivyokuwa navyo angetulia na kumshukuru mungu, kaibiwa vitu vya thamani ndogo tu nina uhakika angeweza kumuachia mungu akatoa sadaka au aache sheria ichukue mkondo wake matokeo yake unapoteza kila kitu kisa kiburi