Mbunge Pauline Gekul akamatwa na Jeshi la Polisi akijaribu kutoroka nchini kuelekea nchini Kenya


..inategemea kama aliyofanya Gekul yana baraka za wakubwa zake au la?
 
Hata taarifa zake za unyanyasaji zilipofika hapa JF watu wengi walidai ni uzushi mpaka pale alipotenguliwa ndio wakaamini. Tusubirie muda utasema.
Hivi kweli kwa akili yako Gekul atoroke ili iweje? Atavikimbia vyombo vya dola? Atajificha kenya? Hivi kweli kulikuwa na arrest warant? Kwani alikuwa haruhusiwi kutoka nje ya nchi? Na ninani kamzuia?

Shida mnatuamia hisia zaidi mnasahau sound Mind!
 
Yani kashaingia kwenye line vizuri sana na vile chaguzi zipo karibu watamtoa kafara kuonyesha chama kinavyotenda haki ili kurudisha imani ya wananchi,, safi sana mwisho wa ubaya ni aibu
Huyo anatolewa kafala na hivi alitokea upinzani kwisha Habari!


Tena hao waliotokea upinzani ndio CCM hawakubaliki kabisa
 
Usaliti hauwaachi wasaliti salama bin salmin hata mara moja.
 
Shida yenu mnatumia hisia zaidi lazima mahakama ipewe uthibitisho kuwa kitendo husika kilifanyika au kulikuwa na jinai sio hisia! Mahakamani hakuna kuoneana huruma kule ni ushahidi na vipengele vya sheria!
 
Peter madereka ameshafika site subiri uone !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…