Mbunge Pauline Gekul akamatwa na Jeshi la Polisi akijaribu kutoroka nchini kuelekea nchini Kenya

Mbunge Pauline Gekul akamatwa na Jeshi la Polisi akijaribu kutoroka nchini kuelekea nchini Kenya

With a rotten system, Mwisho wa movie lazima ataachiwa huru tu. Manakumbuka Kigwangala aliwahi kutuhumiwa kumpiga mtu risasi ya mguu? Nini kiliendelea? Bashite na Sabaya wapo uraiani na kulikuwa na evidence za uhalifu hadi footage za CCTV camera. Msitarajie jipya hapo, baada ya Wiki moja hili sakata litasahaulika
Nililisema hili
 
Daah yaani hapa ndo kaharibu kabisa !! Nahisi hata huko ofisini wadosi watakua wanamcheka na kumshangaa !!
Wakati mwingine ukifanya makosa tulia subiri upepo upite na upambane nao hivyo hivyo [emoji23][emoji23]

Sasa alikua anatoroka kwenda wapi wakati anajijua yeye ni maarufu bado pia ana jimbo.
Hapa hata wadosi watajiweka pembeni kujifanya hawaoni huo msala atajivua mwenyewe inaonekana hata kubebeka habebeki kabisa

Na hata ukimbeba huu woga alionao hachelewi kwenye kampeni kusema anamshukuru Mama kwa kumchomoa kwenye msala [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we mtu!!
 
Lukas mwashambwa uko wapi zezeta mwenzako Katia watu chupa kwenye (NDUKUMU) kumbe ndio zenu
 
Pauline Philipo Gekul, mbunge wa Babati Mjini (CCM) amekamatwa na jeshi la polisi alipokuwa akijaribu kutoroka kuelekea nchini Kenya kupitia mpaka wa Holili, Rombo, Kilimanjaro. Hii ni nia OVU. Jambazi Pauline aliwateka Hashimu na Michael, kuwatesa na kuwawekea chupa makalioni.
Halafu wala hajajiuzulu bali katenguliwa. Haki hii nchi tuna viongozi kenge wengi saana. Bado anaitwa mbunge afutwe ubunge nao kama hataki kujiondoa mwenyewe
 
Mahakama itaamua.
Amekosea kujaribu kukimbia maana yake ana makosa.
Hivi kweli unaamini kabisa huyu anaweza kukimbia? Hata akienda mahakamani ni ngumu kuthibitisha alikuwa anatoroka maana sidhani kama alizuiwa kwenda kenya kama kweli alikuwa anafanya hivyo halafu kulikuwa na arrest warrant? Tafsiri ya kutoroka ukiwa mtaani na ukiwa mahakamani ni vitu viwili tofauti!
 
Hawa wote wameoza hawawezi kushughulikiana inavyotakiwa kwa mujibu wa sheria.
Itavuma halafu itaisha....
 
Dunia hii ni ya ajabu sana sisi tunapigania chakula kwa familia zetu kuna wengine wana kila kitu ila kiburi tu kinawaponza angejua wenzake tunavyotamani alivyokuwa navyo angetulia na kumshukuru mungu, kaibiwa vitu vya thamani ndogo tu nina uhakika angeweza kumuachia mungu akatoa sadaka au aache sheria ichukue mkondo wake matokeo yake unapoteza kila kitu kisa kiburi
Unaweza ukapata cheo ,fedha
Lakini wewe ukaona kama ni ndoto

Ova
 
Pauline Philipo Gekul, mbunge wa Babati Mjini (CCM) amekamatwa na jeshi la polisi alipokuwa akijaribu kutoroka kuelekea nchini Kenya kupitia mpaka wa Holili, Rombo, Kilimanjaro. Hii ni nia OVU. Jambazi Pauline aliwateka Hashimu na Michael, kuwatesa na kuwawekea chupa makalioni.
Naombeni sana serikali yetu iheshimu haki za binadamu ikiwemo freedom of movement!.

Toka tukio limetokea mpaka leo kama PT hawakuisue arrest warrant, huwezi kumuita anataka kutoroka wakati hakuna arrest warrant yoyote!. Mipaka yetu yote ni very porous, mtu anayetaka kutoroka atapitia border post wakati kuna panya roads kibao?.

Gekul alikuwa anakwenda Kenya kwa shughuli zake za kawaida na sio kutoroka!.
P
 
hana alicho ibiwa...chawa wake alimwambia kuwa mmoja wawafanyakazi wake muhudumu wa hoteli yake amekuja hapo kwaajili ya kumpeleleza na kumuwekea dawa za kienyeji...

huyu mbunge kwa kutumia akili za makalio akamteka huyo mfanyakazi wake na kumtesa mateso yaliambatana na kuamrisha aungiziwe chupa sehemu za siri😭😭😭😭 kijana wawatu akaingiziwa chupa makalioni😭😭😭

inasikitisha sana kwa alichokifanya huyu mbunge....tuishukuru sana mitandao viongozi wengi ni majambazi ila siri zao atujawahi kuzithibitisha...

kidogo kidogo wasipo jirekebisha mambo yatakuwa dhahiri🤣🤣🤣🤣
Kuna kigwangwala nae,tuhuma za kuwatesa wafanyakazi wake
Hawa viongozi wanafanya sana uharamia Ni vile tu mengi yanaishia chini sababu ya vyeo vyao
 
Hivi kweli unaamini kabisa huyu anaweza kukimbia? Hata akienda mahakamani ni ngumu kuthibitisha alikuwa anatoroka maana sidhani kama alizuiwa kwenda kenya kama kweli alikuwa anafanya hivyo halafu kulikuwa na arrest warrant? Tafsiri ya kutoroka ukiwa mtaani na ukiwa mahakamani ni vitu viwili tofauti!

Hata taarifa zake za unyanyasaji zilipofika hapa JF watu wengi walidai ni uzushi mpaka pale alipotenguliwa ndio wakaamini. Tusubirie muda utasema.
 
Naombeni sana serikali yetu iheshimu haki za binadamu ikiwemo freedom of movement!.

Toka tukio limetokea mpaka leo kama PT hawakuisue arrest warrant, huwezi kumuita anataka kutoroka wakati hakuna arrest warrant yoyote!. Mipaka yetu yote ni very porous, mtu anayetaka kutoroka atapitia border post wakati kuna panya roads kibao?.

Gekul alikuwa anakwenda Kenya kwa shughuli zake za kawaida na sio kutoroka!.
P

Nadhani circumstancial evidence inaweza kutumika kuonesha kuwa alikuwa anatoroka.
 
Naombeni sana serikali yetu iheshimu haki za binadamu ikiwemo freedom of movement!.

Toka tukio limetokea mpaka leo kama PT hawakuisue arrest warrant, huwezi kumuita anataka kutoroka wakati hakuna arrest warrant yoyote!. Mipaka yetu yote ni very porous, mtu anayetaka kutoroka atapitia border post wakati kuna panya roads kibao?.

Gekul alikuwa anakwenda Kenya kwa shughuli zake za kawaida na sio kutoroka!.
P
Alikwambia anaenda Kwa ajili ya shughuli zake? Au hao wengine aliwaambia anatoroka?
 
Back
Top Bottom