Mbunge Pauline Gekul akamatwa na Jeshi la Polisi akijaribu kutoroka nchini kuelekea nchini Kenya

Mbunge Pauline Gekul akamatwa na Jeshi la Polisi akijaribu kutoroka nchini kuelekea nchini Kenya

Tunahitaji mahakama ya wananchi kuangalia tuhuma kwa jicho la tatu
Waovu ni wengi
 
awezi kuachiwa nchi yetu haipo hivyo linapo kuja swala la kunyoana wenyewe kwa wenyewe...huyo atanyolewa na chupa [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Bila shaka wewe ni mwalimu, mpo Katika mfumo wa kujisahaulisha kama vile hamuijui ccm, ungekuwa karibu ningekuweka makofi lofer wewe.. Mbona makonda yupo huru
 
Bila shaka wewe ni mwalimu, mpo Katika mfumo wa kujisahaulisha kama vile hamuijui ccm, ungekuwa karibu ningekuweka makofi lofer wewe.. Mbona makonda yupo huru
nashukuru kwa hilo...mimi sio mwalimu...ila naweza kukuwekea ushahidi wa wana CCM walionyolewa kwa Chupa🤣🤣🤣🤣 huyu achomoki​
 
With a rotten system, Mwisho wa movie lazima ataachiwa huru tu. Manakumbuka Kigwangala aliwahi kutuhumiwa kumpiga mtu risasi ya mguu? Nini kiliendelea? Bashite na Sabaya wapo uraiani na kulikuwa na evidence za uhalifu hadi footage za CCTV camera. Msitarajie jipya hapo, baada ya Wiki moja hili sakata litasahaulika
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Kesi itapigwa kiaina ndugu wataitwa itamalizika kiaina.
Wakuu wa hizo mambo za utekaji na utesaji wapo mtaani na wengine wamepewa vyeo ndani ya chama.
 
Someni hapa!
 
Attachments

  • 9D182008-1E9F-4537-8971-4E346A0CE41C.jpeg
    9D182008-1E9F-4537-8971-4E346A0CE41C.jpeg
    128.8 KB · Views: 3
Watu waovu wenye mamlaka wakivuliwa mamlaka huwa waoga sana. Anakimbia nini na wananchi anawaachia nani awawakilishe? Wanasheria wameisha nchi hii? Hapa ndio wanawake sasa tunaonekana tunaweza kuhimili mikiki au lah. We can never be men aiseee
Hujuta wanapogundua matendo ya jazba alikowafikisha
 
Pauline Philipo Gekul, mbunge wa Babati Mjini (CCM) amekamatwa na jeshi la polisi alipokuwa akijaribu kutoroka kuelekea nchini Kenya kupitia mpaka wa Holili, Rombo, Kilimanjaro. Hii ni nia OVU. Jambazi Pauline aliwateka Hashimu na Michael, kuwatesa na kuwawekea chupa makalioni.

Mjinga kweli, anatoroka kwenda wapi?. Yani akili kichwani hakuna. Anazidi kupanua goli kwa upande wake.
 
With a rotten system, Mwisho wa movie lazima ataachiwa huru tu. Manakumbuka Kigwangala aliwahi kutuhumiwa kumpiga mtu risasi ya mguu? Nini kiliendelea? Bashite na Sabaya wapo uraiani na kulikuwa na evidence za uhalifu hadi footage za CCTV camera. Msitarajie jipya hapo, baada ya Wiki moja hili sakata litasahaulika

Makonda alilindwa na Rais huku Sabaya alifika mahakamani na kupatikana na hatia na kufungwa mwaka mzima kifungo Cha nje.
 
Pauline Philipo Gekul, mbunge wa Babati Mjini (CCM) amekamatwa na jeshi la polisi alipokuwa akijaribu kutoroka kuelekea nchini Kenya kupitia mpaka wa Holili, Rombo, Kilimanjaro. Hii ni nia OVU. Jambazi Pauline aliwateka Hashimu na Michael, kuwatesa na kuwawekea chupa makalioni.
Huu nao unaweza kuwa uongo usio vaa chupi sasa mtu ni mbunge atoroke ili iweje? Kwanza case yenyewe anaweza kushinda
 
Back
Top Bottom