Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Mahakama itaamua.Jambazi aliyeuwa, na yeye anahukumiwa kuuawa. Je, jambazi aliyemuingizia mtu chupa makalioni inafaa ahukumiwe adhabu gani?
Amekosea kujaribu kukimbia maana yake ana makosa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahakama itaamua.Jambazi aliyeuwa, na yeye anahukumiwa kuuawa. Je, jambazi aliyemuingizia mtu chupa makalioni inafaa ahukumiwe adhabu gani?
Bila shaka wewe ni mwalimu, mpo Katika mfumo wa kujisahaulisha kama vile hamuijui ccm, ungekuwa karibu ningekuweka makofi lofer wewe.. Mbona makonda yupo huruawezi kuachiwa nchi yetu haipo hivyo linapo kuja swala la kunyoana wenyewe kwa wenyewe...huyo atanyolewa na chupa [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Bila shaka wewe ni mwalimu, mpo Katika mfumo wa kujisahaulisha kama vile hamuijui ccm, ungekuwa karibu ningekuweka makofi lofer wewe.. Mbona makonda yupo huru
Hilo bashite mtu wa pesa amekuta na kuteka kawadhuru raia sana wakati wa utawala wa mkono wa chuma, Leo kumpa nafasi ya usafi ndani CHAMA chetu ni uhasi kabisaMbona Makonda hakamatwi kwa uuaji na ujambazi?
Hakuna mkate mgumu mbele ya chaiWith a rotten system, Mwisho wa movie lazima ataachiwa huru tu. Manakumbuka Kigwangala aliwahi kutuhumiwa kumpiga mtu risasi ya mguu? Nini kiliendelea? Bashite na Sabaya wapo uraiani na kulikuwa na evidence za uhalifu hadi footage za CCTV camera. Msitarajie jipya hapo, baada ya Wiki moja hili sakata litasahaulika
Hujuta wanapogundua matendo ya jazba alikowafikishaWatu waovu wenye mamlaka wakivuliwa mamlaka huwa waoga sana. Anakimbia nini na wananchi anawaachia nani awawakilishe? Wanasheria wameisha nchi hii? Hapa ndio wanawake sasa tunaonekana tunaweza kuhimili mikiki au lah. We can never be men aiseee
Pauline Philipo Gekul, mbunge wa Babati Mjini (CCM) amekamatwa na jeshi la polisi alipokuwa akijaribu kutoroka kuelekea nchini Kenya kupitia mpaka wa Holili, Rombo, Kilimanjaro. Hii ni nia OVU. Jambazi Pauline aliwateka Hashimu na Michael, kuwatesa na kuwawekea chupa makalioni.
With a rotten system, Mwisho wa movie lazima ataachiwa huru tu. Manakumbuka Kigwangala aliwahi kutuhumiwa kumpiga mtu risasi ya mguu? Nini kiliendelea? Bashite na Sabaya wapo uraiani na kulikuwa na evidence za uhalifu hadi footage za CCTV camera. Msitarajie jipya hapo, baada ya Wiki moja hili sakata litasahaulika
Huu nao unaweza kuwa uongo usio vaa chupi sasa mtu ni mbunge atoroke ili iweje? Kwanza case yenyewe anaweza kushindaPauline Philipo Gekul, mbunge wa Babati Mjini (CCM) amekamatwa na jeshi la polisi alipokuwa akijaribu kutoroka kuelekea nchini Kenya kupitia mpaka wa Holili, Rombo, Kilimanjaro. Hii ni nia OVU. Jambazi Pauline aliwateka Hashimu na Michael, kuwatesa na kuwawekea chupa makalioni.
Kama sabaya yupo huru kila mtu kutoka ccm kinawezekana
Salakasi tu hizo
Mi naisubiria siku atakayokuwa amevaa zile sare za rangi ya chungwa.This time tutasikia mengi, mimi naisubiri siku nitayomuona amepandishwa mahakamani.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app