Hahaha GEKUL, akili kisoda !!.
Inawezekana kabisa picha lilikua hivi..
Wabaya wake walimpenyezea Taarifa za uongo kua Kuna madogo wanataka wakuwekee sumu.
Wabaya wakamwambia, tutakusaidia hao madogo walotumwa tuwakomoe .
Naye kwakua anakikundi Cha Wahuni, akawasikiliza.
Madogo wakatekwa kweli Ofisin kwake , Wabaya wakiendelea kurekodi video na sauti.
Kwakua madogo hawakutenda, ikawalazimu madogo wakatae katakata !!.
GEKUL akichokonolewa na wabaya wake, wafanye hivi ,wafanyie hivii...
Wabaya wakawa wamepata walichonacho.
Wabaya wakaamua kulilipua mtandaoni .
Wabaya hao hao wanamwambia toroka ,torokaaa .
GEKUL akili kisoda, naye huyoooo !!.
Katika kipindi alichotakiwa kutulia ni hiki.
Nimeandika humu, GEKUL achukuliwe hatua za SHERIA , Ndani yake Kuna upepelezi Ndani yake Kuna Kila kitu mpaka SHERIA kutoa hatima .
GEKUL akijichanganya ,Kila kitu chake kitaenda mrama !!.
GEKUL atajiua !!
Wabaya watashinda, HUSUSAN WABAYA WAKE AMBAO NI WATI WAKE WANAOFANYA NAYE BIASHARA NA MADEALS MAKUBWA KUBWA !!.