econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Mbona Makonda hakamatwi kwa uuaji na ujambazi?
Huyo ipo siku yake tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Makonda hakamatwi kwa uuaji na ujambazi?
Atoloke kwa kosa lipi
Huyu wampokonye hiyo bastola ambayo anaendanayo kila mahaliHahaha GEKUL, akili kisoda !!.
Inawezekana kabisa picha lilikua hivi..
Wabaya wake walimpenyezea Taarifa za uongo kua Kuna madogo wanataka wakuwekee sumu.
Wabaya wakamwambia, tutakusaidia hao madogo walotumwa tuwakomoe .
Naye kwakua anakikundi Cha Wahuni, akawasikiliza.
Madogo wakatekwa kweli Ofisin kwake , Wabaya wakiendelea kurekodi video na sauti.
Kwakua madogo hawakutenda, ikawalazimu madogo wakatae katakata !!.
GEKUL akichokonolewa na wabaya wake, wafanye hivi ,wafanyie hivii...
Wabaya wakawa wamepata walichonacho.
Wabaya wakaamua kulilipua mtandaoni .
Wabaya hao hao wanamwambia toroka ,torokaaa .
GEKUL akili kisoda, naye huyoooo !!.
Katika kipindi alichotakiwa kutulia ni hiki.
Nimeandika humu, GEKUL achukuliwe hatua za SHERIA , Ndani yake Kuna upepelezi Ndani yake Kuna Kila kitu mpaka SHERIA kutoa hatima .
GEKUL akijichanganya ,Kila kitu chake kitaenda mrama !!.
GEKUL atajiua !!
Wabaya watashinda, HUSUSAN WABAYA WAKE AMBAO NI WATI WAKE WANAOFANYA NAYE BIASHARA NA MADEALS MAKUBWA KUBWA !!.
Tatizo uliye na ushahidi huendi mahakamaniMbona Makonda hakamatwi kwa uuaji na ujambazi?
Kama sabaya yupo huru kila mtu kutoka ccm kinawezekana
Salakasi tu hizo
Fake news, sioni ukweli MP kutoka chama tawala eti akitoroka, its a NO kwangu
Tatizo uliye na ushahidi huendi mahakamani
[emoji23][emoji23]Mahakama zipi? Hizo za bongo. Rostam alishatoa muongozo kuwa mahakama zetu zinatoa maamuzi baada ya kupigwa simu. Kwanini ujihangaishe.
Watatumia kuspin mambo nyeti.kuelekea December to new year!!!
Ni kweli yupo kwa kifungo cha nje ila sekeseke alilopitia wanalijua wanalikumbuka hakuna mwanaccm tena mwanamke wa kukitamani hicho kikombe, kesi zinafilisi pia akiwawaza wabaya wake kisiasa na kibiashara watakavyomdhihaki!! ndo maana kaamua kujilipua kutoroka kumbe wamemdanganya ili kumuanika zaidiAibu zake tu, mbona akina Sabaya wapo hata Kama ni kifungo Cha nje.
Bashite alikuwa anamjulisha JIWE Mishe zote ...na JIWE alikuwa anatoa baraka ....Makonda alilindwa na Rais huku Sabaya alifika mahakamani na kupatikana na hatia na kufungwa mwaka mzima kifungo Cha nje.
Karma imemmaliza huyu Dada.Pauline Philipo Gekul, mbunge wa Babati Mjini (CCM) amekamatwa na jeshi la polisi alipokuwa akijaribu kutoroka kuelekea nchini Kenya kupitia mpaka wa Holili, Rombo, Kilimanjaro. Hii ni nia OVU. Jambazi Pauline aliwateka Hashimu na Michael, kuwatesa na kuwawekea chupa makalioni.
Na ataachiwa kweli maana tuhuma inadai yeye alisimamia zoezi la kuingiza chupa hakuingiza yeye hizo chupa, sasa ushahidi wa kusimamia itakuwa kazi kuupata. Kama kukutwa na hatia watakutwa hao vijana wake.With a rotten system, Mwisho wa movie lazima ataachiwa huru tu. Manakumbuka Kigwangala aliwahi kutuhumiwa kumpiga mtu risasi ya mguu? Nini kiliendelea? Bashite na Sabaya wapo uraiani na kulikuwa na evidence za uhalifu hadi footage za CCTV camera. Msitarajie jipya hapo, baada ya Wiki moja hili sakata litasahaulika
Haya maandishi yafaa yawekewe lamination.With a rotten system, Mwisho wa movie lazima ataachiwa huru tu. Manakumbuka Kigwangala aliwahi kutuhumiwa kumpiga mtu risasi ya mguu? Nini kiliendelea? Bashite na Sabaya wapo uraiani na kulikuwa na evidence za uhalifu hadi footage za CCTV camera. Msitarajie jipya hapo, baada ya Wiki moja hili sakata litasahaulika
Kama mwanamke anaweza kujifungua mtoto akatupa chooni,sembuse kuwaacha wananchiWatu waovu wenye mamlaka wakivuliwa mamlaka huwa waoga sana. Anakimbia nini na wananchi anawaachia nani awawakilishe? Wanasheria wameisha nchi hii? Hapa ndio wanawake sasa tunaonekana tunaweza kuhimili mikiki au lah. We can never be men aiseee
chanzo....?
Haina ukakasi. Uteuzi wake umetenguliwa wa uwaziri. Ajilaumu mwenyewe kwa kuendekeza imani za kishirikina. Japo, najua hizi ni drama mwisho wa siku kama atapelekwa mahakamani tutaambiwa hana hatia, ushahidi haujatosha. She acted on hearsay tena suala la ushirikina akaenda kumtesa kijana. Unaona aina za viongozi tuko nao? Hawa ndio wakupeleka mbele maendeleo? My rotten big prick!Hii story ina kasi sana!