Mbunge Pauline Gekul akamatwa na Jeshi la Polisi akijaribu kutoroka nchini kuelekea nchini Kenya

Mbunge Pauline Gekul akamatwa na Jeshi la Polisi akijaribu kutoroka nchini kuelekea nchini Kenya

Kuna askari wamemwambia tupe ela tukwambie kinachopangwa kuhusu wewe, akawapa. Baadae wakamwambia utakamatwa kimbilia Kenya, akawasikiliza. Haohao wakatoa taarifa kuwa anataka kutorokea Kenya tumfatilie.. hii nchi raha sana. Lakini atakuwa amefanya kweli makosa. Kama msafi anaogopa nini!?.., Waziri unaenda kutishia maisha na kumwekea mtoto chupa matakoni!?.., mbona ma agent wa third party wa kuwatuma kupiga mkwara street wapo kibao!?..., Uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sana. Naanza kuwa na mashaka na viongozi tulionao. Kama huyo ndo Waziri tena wizara inayohusu sheria anafanya utoto kama huo...
Kwenye mahakama za social media katengeneza ushahidi pasi na shaka kwamba alitenda aliyotuhumiwa
 
Siyo rahisi kutoroka. Pamoja na kutenguliwa, nilazima kutengeneza Hand Over notes na kuclear office yake of all her personal effects.
 
Naombeni sana serikali yetu iheshimu haki za binadamu ikiwemo freedom of movement!.

Toka tukio limetokea mpaka leo kama PT hawakuisue arrest warrant, huwezi kumuita anataka kutoroka wakati hakuna arrest warrant yoyote!. Mipaka yetu yote ni very porous, mtu anayetaka kutoroka atapitia border post wakati kuna panya roads kibao?.

Gekul alikuwa anakwenda Kenya kwa shughuli zake za kawaida na sio kutoroka!.
P
Duh,anakwenda kwenye shuguli zake za kawaida baada ya kumsokomeka
Bwana mdg chupa mknd siyo
Unaonaje serikali wamuachie tu
Mbona kusokomekana chupa mkndn
Ni jambo la kawaida tu

Ova
 
_a4efb226-47fd-4220-bf0f-c3a108b43b29.jpeg
 
Back
Top Bottom