Hawa wote wameoza hawawezi kushughulikiana inavyotakiwa kwa mujibu wa sheria.
Itavuma halafu itaisha....
Uozo ni kutokea pale juu kabisa na mamlaka zote za kutenda haki zimejaa wahuni. Hakuna uwajibikaji au uwajibishwaji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wote wameoza hawawezi kushughulikiana inavyotakiwa kwa mujibu wa sheria.
Itavuma halafu itaisha....
Ya whine?Na yeye aingiziwe chupa?
Ana depression ya kukatwa antena akiwa mdogoAna haiba ya kimafiamafia sana yule mama
Huyo madeleka hana lolote, paulina ameonewaPeter madereka ameshafika site subiri uone !
Sina muda wa kujibu mpumbavuHuyo madeleka hana lolote, paulina ameonewa
Madereka nae tumwingizie chupaHuyo madeleka hana lolote, paulina ameonewa
CCM mkoa wameshakutanaHuyo madeleka hana lolote, paulina ameonewa
Wataingiziwa chupa shauri yakoCCM mkoa wameshakutana
we ndio mpumbavu, unaemuona huyo chizi madeleka ni wa maana, huyo ni mpiga kelele tu hana lolote, NYAU WEWESina muda wa kujibu mpumbavu
hao ccm tunajua wana chuki na ubunge wa gekulCCM mkoa wameshakutana
Kukatwa antena ndio kufanywa nini?😁Ana depression ya kukatwa antena akiwa mdogo
Huyu ni tabia zake ndo zimemponza ana nyodo sanaHuyo anatolewa kafala na hivi alitokea upinzani kwisha Habari!
Tena hao waliotokea upinzani ndio CCM hawakubaliki kabisa
Kwenye mahakama za social media katengeneza ushahidi pasi na shaka kwamba alitenda aliyotuhumiwaKuna askari wamemwambia tupe ela tukwambie kinachopangwa kuhusu wewe, akawapa. Baadae wakamwambia utakamatwa kimbilia Kenya, akawasikiliza. Haohao wakatoa taarifa kuwa anataka kutorokea Kenya tumfatilie.. hii nchi raha sana. Lakini atakuwa amefanya kweli makosa. Kama msafi anaogopa nini!?.., Waziri unaenda kutishia maisha na kumwekea mtoto chupa matakoni!?.., mbona ma agent wa third party wa kuwatuma kupiga mkwara street wapo kibao!?..., Uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sana. Naanza kuwa na mashaka na viongozi tulionao. Kama huyo ndo Waziri tena wizara inayohusu sheria anafanya utoto kama huo...
Hayo ni maigizo.Sio kuspin, hii ni reality. Kijana kalalamika.
Duh,anakwenda kwenye shuguli zake za kawaida baada ya kumsokomekaNaombeni sana serikali yetu iheshimu haki za binadamu ikiwemo freedom of movement!.
Toka tukio limetokea mpaka leo kama PT hawakuisue arrest warrant, huwezi kumuita anataka kutoroka wakati hakuna arrest warrant yoyote!. Mipaka yetu yote ni very porous, mtu anayetaka kutoroka atapitia border post wakati kuna panya roads kibao?.
Gekul alikuwa anakwenda Kenya kwa shughuli zake za kawaida na sio kutoroka!.
P