johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bora watanzania wengi au hata wote walifahamu hili,itawasaidia sanaaNepotism ni tatizo kubwa sana hapa nchini.
Kijana kama Huna connection elimu Yako inaweza kuwa mzigo wa majuto.
Na likiwasaidia kitu gani kinafataBora watanzania wengi au hata wote walifahamu hili,itawasaidia sanaa
Connection ni nyenzo muhimu sanaaa πNepotism ni tatizo kubwa sana hapa nchini.
Kijana kama Huna connection elimu Yako inaweza kuwa mzigo wa majuto.
You have a point.Why walimu waajiriwe wizarani na kusambazwa?why kila aHalmashauri iajiri yenyewe moja Kwa moja??kusiwepo na kuhama Hama
Tume ya Ajira wakitangaza nafasi za kazi mwanzoni wanaendesha usaili wa mchujo na matokeo wanatangaza kila aliyefanya matihani aaona maksi zake. Kimbembe kinakuja wale wanaoendelea na usaili wa mahojiano matokeo yake maksi haziwekwi hadharani ili kila mmoja ajue maksi alizopata ili alinganishe na namna alivyojibu maswali. Hapa ndipo watu wanapitishwa kwa kujuana.Nepotism ni tatizo kubwa sana hapa nchini.
Kijana kama Huna connection elimu Yako inaweza kuwa mzigo wa majuto.
Why walimu waajiriwe wizarani na kusambazwa?why kila Halmashauri iajiri yenyewe moja Kwa moja??kusiwepo na kuhama Hama
Hizi ni fikra za kizamani sana. Nani kakwambia huwezi kuwa na msimamo bila ya kuwa na fedha?? Watanzania wengi wamekuwa dhaifu kimisimamo kwa kuwa na fikra kama hizi kwamba ili uwe huru ni lazima uwe na fedha.Ukiwa na pesa huwa huogopi mtu.
Unataka kupigana na kisiki.Hizi ni fikra za kizamani sana. Nani kakwambia huwezi kuwa na msimamo bila ya kuwa na fedha?? Watanzania wengi wamekuwa dhaifu kimisimamo kwa kuwa na fikra kama hizi kwamba ili uwe huru ni lazima uwe na fedha.
Huyo Shabiby inawezekana katoa maneno hayo kutokana na mtizamo wake binafsi na wala si kwa hela alizonazo.
Hoja yako hii ni dhaifu sana. Hao wabunge wanaosema "Ndiyooo" unadhani kisa ni umaskini wao?? Fikiria tena.Unataka kupigana na kisiki.
Hakuna mbunge wa magumashi anaweza hoja hizo.
Ndio maana woote ni watu wa NDIYOooo!!!
Hata mkwara??Unataka kupigana na kisiki.
Hakuna mbunge wa magumashi anaweza hoja hizo.
Ndio maana woote ni watu wa NDIYOooo!!!