Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Logikos asante sana kwa hoja zako. Nimependa uliposema kuwa watu wamekuwa - brain washed. Na wengi hawajui wanaosema ukiwa huna hela huwezi kuwa na msimamo, na ndiyo hao hao wenye hizo hela. Yaani wao wanasema hivyo ili wasio na hela waache kutumia akili zao kwenye kutafakari nafasi yao kwenye jamii.