Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Na baadae adabu iliishia wapi? Walikaa kimya ili waishi.Ndiyo mnavyodanganyana. Mbona awamu iliyopita walikuwa na adabu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na baadae adabu iliishia wapi? Walikaa kimya ili waishi.Ndiyo mnavyodanganyana. Mbona awamu iliyopita walikuwa na adabu.
Unaongea ukweli mtupu. Muone level ya Diamond. We unamuonaje?? Kwanini sio Chege? Maana wote ni wasanii tena Chege mkali kuliko Mondi. Tofauti ni pesa.Kwahio wewe ukikosa pesa haujiamini ?
Hio ni distorted view ya maisha na being vain..... Inaonyesha ukipata Pesa au kama una Pesa utakuwa una-belittle wengine yaani unajiona upo juu sababu ya pesa, Sadly hii view ndio sababu kubwa ya uchawa (kuona wengine ni superior; character counts for nothing in such people'e eyes)
Una hoja usikilizweWhy walimu waajiriwe wizarani na kusambazwa?why kila Halmashauri iajiri yenyewe moja Kwa moja??kusiwepo na kuhama Hama
Na baadae adabu iliishia wapi? Walikaa kimya ili waishi.
Bwashee, njaa na misimamo wapi na wapi?Hizi ni fikra za kizamani sana. Nani kakwambia huwezi kuwa na msimamo bila ya kuwa na fedha?? Watanzania wengi wamekuwa dhaifu kimisimamo kwa kuwa na fikra kama hizi kwamba ili uwe huru ni lazima uwe na fedha.
Huyo Shabiby inawezekana katoa maneno hayo kutokana na mtizamo wake binafsi na wala si kwa hela alizonazo.
Acha uzushi wewe. Nyie mnawaaminisha watu kwamba hawawezi kuwa na misimamo kama hawana hela ili muendelee kuwatawala. Yaani mnatumia umaskini wao kuwatawala kifikra.Bwashee, njaa na misimamo wapi na wapi?
Muulize Mbowe kwa lowasa
Niliacha kila kitu.. nilikuwa naidai kampuni milioni kadhaa nilizisamehe. Nilianza kupanga chumba cha 25000/= kwa mwezi. Katika maisha yangu ule ndo uamuzi wa kishujaa zaidi niliowahi fanya kwa sababu baada ya huo uamuzi nilikaa miaka miwili ya kupigika haswa. Ilinijengea heshima mimi binafsi hadi familia yangu. SIMAMA KWENYE HAKI hutaonewa wala kumsujudia mtu.Ulikuwa unajiamini umeshachuma pesa ulizoenda kuanzisha biashara
Naunga mkono hoja. Ajira kama za walimu, manesi, waganga, watu wa mifugo, nk zifanyike kwenye halmashauri za wilaya na miji.Why walimu waajiriwe wizarani na kusambazwa?why kila Halmashauri iajiri yenyewe moja Kwa moja??kusiwepo na kuhama Hama
Mfano Jah people!Hoja yako hii ni dhaifu sana. Hao wabunge wanaosema "Ndiyooo" unadhani kisa ni umaskini wao?? Fikiria tena.
Hata mchungaji Msigwa ni maskini lakini alikuwa anamkomalia Shujaa Magufuli japokuwa ni Ndugu yake!Tafuta Hansard kuna mtu alikuwa anaitwa Phares Kashemeza Kabuye aliyekuwa Mbunge wa Biharamulo. Huyu Mzee alipiga kampeni kwa Baiskeli na kushinda ubunge dhidi ya mpinzani wake aliyekuwa anatumia magari kufanya kampeni zake.
Alipokuwa bungeni michango yake iliheshimika na kukumbukwa mpaka leo. Kabuye alikufa kwenye ajali ya Basi wakati akielekea Dar es salaam. Hakuwa tajiri lakini alikuwa ni mtu mwenye misimamo thabiti.
Nyie msiojiamini kwa kusingizia kwamba hamjiamini kwa kuwa hamna hela, mnamkufuru Mungu ama mnamuonesha kwamba alikosea kuwaumba binadamu.
Muongeze na MboweMtikila, Mrema, Mbatia ni kazi maalumu wale usiwalinganishe kwenye mambo ya msingi
Yes kama ww ni maskini uwez kuleta msimamo Kwa bosi wako
Kama ww ni maskini uwez kumwambia bosi hata ww tunaweza kukutoa
Usibishane na ukweli fedha inakupa freedom na kujiamini kwenye mambo mengiHoja yako hii ni dhaifu sana. Hao wabunge wanaosema "Ndiyooo" unadhani kisa ni umaskini wao?? Fikiria tena.
Angalia hata mfumo wa UN nchi tajiri ndo zinasauti lakin nchi maskin hazina na wala hata azisikilizwiHoja yako hii ni dhaifu sana. Hao wabunge wanaosema "Ndiyooo" unadhani kisa ni umaskini wao?? Fikiria tena.
Ila una stress sana ndo maana unaropoka ropoka hovyo ndo maana comment yako ya kumtuhumu msigwa ni maskin umeona uifuteMuongeze na Mbowe
hakika kabisa. huna connection huna maisha hata kama unasifa. nzuri kabisaa. nchii ngumu sana hiiiNepotism ni tatizo kubwa sana hapa nchini.
Kijana kama Huna connection elimu Yako inaweza kuwa mzigo wa majuto.
Hii uliongea hapa sio sawaUmasikini wa nini ? Umasikini wa Fikra ? Ofcourse ukiwa na Umasikini wa Fikra unaweza ukatafuta legitimacy ya Pesa au jambo lolote lile... (According to Nyerere utatafuta legitimacy kwenye Udini, Ukanda au Ukabila)...,
Kama una msimamo au kama unajua unachokisimamia hautayumbishwa na mtu yoyote...., Ingawa point yako labda useme mtu unayemtegemea akulishe ni vigumu kumpinga (lakini hapa ndani ya hii nchi kudhani mwanasiasa mwenzako au mtu pale serikalini ndio anakuweka duniani ni fikra potofu) and hence emancipation of mental slavery is needed...,
'I'd rather die like a man, than live like a coward' Why you might ask ?!!! Because a Coward dies a thousand Deaths...
Kwamba Nyerere mambo yangeendelea kuwa sawa angekuwepo madarakani mpaka siku anakufa ? Wale ambao wapo Madarakani na nchi zao zimewekewa vikwazo unawaweka kundi gani ? Je Nyerere aliacha kuwapiga misumari IMF na Developed Countries kwa Marginalization of Undeveloped CountriesHii uliongea hapa sio sawa
Nyerere alikua na msimano sana ila during 1980's yalimshinda akasema nangatuka
unajua ni kwanin ilikua nchi icolapse au ufuate wale mabeberu kupitia sap ili waokoe jahazi ujasiri wa nyerere haukumsaidia tena
Nikuulize swali dogo tu.... Where does Power Lies...ikabid amwachie mwinyi ambaye akakubali matakwa ya sap kwa mlango wa ruksa
Basic Human Needs ni zipi ? Na unawapigia magoti ili wakupe nini na kibaki / kidumu kwa muda gani? Kwamba shughuli iliyobaki ya kuweza kupata Mavazi , Malazi na Chakula ni kupiga magoti ?Kwenye maisha ni kweli unaweza ukawa maskin na jasiri ila likija swala linalohusu hela lazima ukawapigie magoti wenye fedha ndo hapo udhaifu unapokuja mfano unafamilia huna hela lazima ukubali ukawapigie magoti wenye hela ili uiokoe familia yako ndo alichofanya nyerere
Pambana sana uwe na financial freedom ndo ujasiri wenyewe huo