hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Mawazo gani? Yaani kwamba ukiwa masikni huwezi kuwa na misimamo yako? Yaani kumwambia spika kwamba anaweza kuondolewa ni mpaka uwe ha hela? Umepewa mfano wa Mtikila na MamaSamia2025 mfano halisi kabisa. Huku mitaani kwetu tuna watu tunawaheshimu kwa misimamo yao na wao wala si matajiri.
Mtikila, Mrema, Mbatia ni kazi maalumu wale usiwalinganishe kwenye mambo ya msingi
Yes kama ww ni maskini uwez kuleta msimamo Kwa bosi wako
Kama ww ni maskini uwez kumwambia bosi hata ww tunaweza kukutoa