Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Umaskini unaleta kutojiamini.Hoja yako hii ni dhaifu sana. Hao wabunge wanaosema "Ndiyooo" unadhani kisa ni umaskini wao?? Fikiria tena.
Umemsahau Prof Kalamabudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umaskini unaleta kutojiamini.Hoja yako hii ni dhaifu sana. Hao wabunge wanaosema "Ndiyooo" unadhani kisa ni umaskini wao?? Fikiria tena.
Hahaha tena wakisikia Katiba Mpya na Tume Huru wanachanganyikiwa.Muda Huu Kila Mbunge Anatamani Kurudi Bungeni Tena Kwa Namna Yoyote
Wasiosema Nao Watasema Lolote, Siasa Za Mipango Ccm Kwafukuta Moto
Ingaawa yeye mwenyewe alipita bila kupingwa lakini Hoja zake zina aksi uwezo wake wa economic liberation. Kwamba hamwogopi mtu kwa kuwa hamlishi.
Mbunge wa Gairo Mohamed Shabiby akitoa hooja zake na malalamiko juu ya Tamisemi kutoa ajira kwa kujuana, upendeleo kwa mawaziri amesema wao Kama bunge wana wajibu wa kuisimamia serikali.
Amedai ikiwa kuna mtumishi anaenda kinyume na utaratibu basi wanaweza kupeleka hoja Bungeni na kuazimia kumkataa.
Hata Spika akileta siasa zake wanaweza kumwazimia.
Je ni siasa zipi anazohisi zinaweza kuazimiwa?
Sikiliza mwenyewe kweny Clip hii.
Katu huwezi kuwa na msimamo thabiti kama huna pesa ndugu yangu,mfano balaa la Afrika halina msimamo kwa nchi za Ulaya na Amerika kwa sababu tu ya kemcho,ukiwa huna ajira unaweza kufanyishwa kazi ngumu ili upate kula hashana na kemcho,maana hata yule masaliti wa Yesu alikuwa hana kemcho.Hizi ni fikra za kizamani sana. Nani kakwambia huwezi kuwa na msimamo bila ya kuwa na fedha?? Watanzania wengi wamekuwa dhaifu kimisimamo kwa kuwa na fikra kama hizi kwamba ili uwe huru ni lazima uwe na fedha.
Huyo Shabiby inawezekana katoa maneno hayo kutokana na mtizamo wake binafsi na wala si kwa hela alizonazo.
Ni kazi ya serikaliMwambieni Shahiby apeleke umeme Mlimani pale Choma Falls na vijiji vya jirani ambavyo haipo kilometa tano kutoka Kwa Mkuu wa Mkoa
Ni kujiamini tu. Mtikila hakuwa tajiri lakini alikuwa akiipeleka serikali mahakamani.Mtu mwenye pesa,huwaga yuko real sana,hanaga unafiki kama baadhi ya maskini.
Hoja yako hii ni dhaifu sana. Hao wabunge wanaosema "Ndiyooo" unadhani kisa ni umaskini wao?? Fikiria tena.
Sasa Profesa Kabudi ni maskini??Umaskini unaleta kutojiamini.
Umemsahau Prof Kalamabudi
Sijui mnasoma historia za wapi ndugu zangu. Dunia hii watu mashuhuri kwa misimamo wala si matajiri. Na Afrika tatizo letu si umaskini wa bara letu, bali tuna viongozi wenye fikra za kimaskini ambao wanadhani mali ndiyo huwajengea hadhi ya utu wao.Katu huwezi kuwa na msimamo thabiti kama huna pesa ndugu yangu,mfano balaa la Afrika halina msimamo kwa nchi za Ulaya na Amerika kwa sababu tu ya kemcho,ukiwa huna ajira unaweza kufanyishwa kazi ngumu ili upate kula hashana na kemcho,maana hata yule masaliti wa Yesu alikuwa hana kemcho.
Sasa Profesa Kabudi ni maskini??
Sijui mnasoma historia za wapi ndugu zangu. Dunia hii watu mashuhuri kwa misimamo wala si matajiri. Na Afrika tatizo letu si umaskini wa bara letu, bali tuna viongozi wenye fikra za kimaskini ambao wanadhani mali ndiyo huwajengea hadhi ya utu wao.
Matokeo yake viongozi wa Afrika wakiingia madarakani kazi yao kubwa huwa ni kuiba mali za umma na kujitajirisha wao na familia zao, wakidhani kwamba mali humpa mtu heshima. Ukikaa na matajiri wa dunia ndiyo utajua mali siyo inayompa mtu kujiamini.
Kama hujiamini kwa kuwa huna mali jua tatizo ni wewe kutokujua nguvu ya utu wako iko wapi!!
Sasa Profesa Kabudi ni maskini??
Sijui mnasoma historia za wapi ndugu zangu. Dunia hii watu mashuhuri kwa misimamo wala si matajiri. Na Afrika tatizo letu si umaskini wa bara letu, bali tuna viongozi wenye fikra za kimaskini ambao wanadhani mali ndiyo huwajengea hadhi ya utu wao.
Matokeo yake viongozi wa Afrika wakiingia madarakani kazi yao kubwa huwa ni kuiba mali za umma na kujitajirisha wao na familia zao, wakidhani kwamba mali humpa mtu heshima. Ukikaa na matajiri wa dunia ndiyo utajua mali siyo inayompa mtu kujiamini.
Kama hujiamini kwa kuwa huna mali jua tatizo ni wewe kutokujua nguvu ya utu wako iko wapi!!
Ni kujiamini tu. Mtikila hakuwa tajiri lakini alikuwa akiipeleka serikali mahakamani.
Ideally uko sahihi. Realistically na practically ukiwa mnyonge kiuchumi unaweza kutindikiwa ujasiri wa kuusemea moyo wako kwa dhati. Huo ndo ukweli. Tumejengewa utamaduni wa woga na bila pesa hakuna jeuri.Hizi ni fikra za kizamani sana. Nani kakwambia huwezi kuwa na msimamo bila ya kuwa na fedha?? Watanzania wengi wamekuwa dhaifu kimisimamo kwa kuwa na fikra kama hizi kwamba ili uwe huru ni lazima uwe na fedha.
Huyo Shabiby inawezekana katoa maneno hayo kutokana na mtizamo wake binafsi na wala si kwa hela alizonazo.
Mkuu fedha ni barafu ya moyo.Katu huwezi kuwa na msimamo thabiti kama huna pesa ndugu yangu,mfano balaa la Afrika halina msimamo kwa nchi za Ulaya na Amerika kwa sababu tu ya kemcho,ukiwa huna ajira unaweza kufanyishwa kazi ngumu ili upate kula hashana na kemcho,maana hata yule masaliti wa Yesu alikuwa hana kemcho.
Tafuta Hansard kuna mtu alikuwa anaitwa Phares Kashemeza Kabuye aliyekuwa Mbunge wa Biharamulo. Huyu Mzee alipiga kampeni kwa Baiskeli na kushinda ubunge dhidi ya mpinzani wake aliyekuwa anatumia magari kufanya kampeni zake.Hofu ya future Yao, na ndio umaskini,
Wabunge wote ambao walikuwa na hela kuanzia wakina Nimrod Mkono walikuwa na hoja ambazo ni mzito
Jeuri wanapata because Wana hela
Nani aliyetujengeaa huo utamaduni wa woga!!?Tumejengewa utamaduni wa woga
Mawazo gani? Yaani kwamba ukiwa masikni huwezi kuwa na misimamo yako? Yaani kumwambia spika kwamba anaweza kuondolewa ni mpaka uwe na hela? Umepewa mfano wa Mtikila na MamaSamia2025 mfano halisi kabisa. Huku mitaani kwetu tuna watu tunawaheshimu kwa misimamo yao na wao wala si matajiri.Watu wa mawazo kama yako sikuwahi kudhani kama bado wapo hapa duniani
Mnawazaga mambo in way kama mnaishi dunia nyingine
Acha uongo. Mtikila hadi anafariki alikuwa yuko safi kisiasa. Wewe kama unaona hadi uwe na hela ndo ujiamini utaonewa sana hapa duniani.Mtikila alipo enda kukopa milion 3 kwa Rostam ili alipie nyumba anayo lala akaambiwa anapewa bure LKN asaini kuonyesha kama kapokea.
Mkataba ukasainiwa na ndiyo ukawa mwisho wa Mtikila kisiasa.Unawaita magabacholi wezi mbona wanakupa hela kwa kificho?
Akawa hana majibu hadi anakufa.
Yes,hela zinasaidia sana kukupa kujiamini,ona hoja za bilionea Kishimba hata Msukuma;wana hela wanajiamini.
Mwigulu au Nape au Makamba au Aweso hawana pesa lzm sasa wawe karibu na ‘wakuu’