WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Hakika.Unapita!! Kuna mkataba gani umewahi kataliwa na hili bunge? Kwa spika huyo aliyeathiriwa na kwashakoo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika.Unapita!! Kuna mkataba gani umewahi kataliwa na hili bunge? Kwa spika huyo aliyeathiriwa na kwashakoo?
Ni hizi mvua za rasha rasha ama? 😳Simtetei lakini mkataba ulisainiwa Oktoba mwamba Kauliza novemba ila je mbona wengine tulichelewa kusanuka shangazi asulubiweeeeeeee
Mbona wanauza vya Tanganyika tu ?MBUNGE, Rashid Shangazi anatajwa kuwa ndiye Dalali wa Kampuni ya DP World inayotaka kuuziwa bandari zote Tanzania isipokuwa za Zanzibar tu, Shangazi alianza kuipigia debe na baadaye kuwaleta nchini na kukamilisha hiyo dili ambalo limezua mgogoro mkubwa Tanzania.
Ushahidi wa ni SWALI NA 58 LA TAREHE 4 NOVEMBA, 2022 ambapo kwa mujibu wa Tovuti ya Bunge, Mbunge huyo aliuliza
"58. MHESHIMIWA RASHID ABDALLAH SHANGAZI (MLALO) :Atamuuliza Mheshimiwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi: Je, ni lini utekelezaji wa Mkataba wa Kibiashara kati ya Serikali na Kampuni ya Dubai World utaanza"
Serikali kupitia Naibu Waziri wa Ujenzi( ATUPELE MWAKIBETE ALIJIBU NAKUU)
United Republic of Tanzania
Primary Questions
MHE. RASHID A. SHANGAZI aliuliza: -
Je, ni lini utekelezaji wa Mkataba wa kibiashara kati ya Serikali na Kampuni ya Dubai World utaanza?
Answer
NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI (MHE. ATUPELE F. MWAKIBETE) alijibu: -
Mheshimiwa Spika, kwa niaba ya Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, naomba kujibu swali la Mheshimiwa Rashid Abdallah Shangazi, Mbunge wa Mlalo, kama ifuatavyo: -
Mheshimiwa Spika, mwezi Februari 2022 Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), ilisaini Hati ya Makubaliano (MoU) na Kampuni ya Dubai Port World (DP-World) ya Umoja wa Falme za Kiarabu, kuhusu uwekezaji katika maeneo ya bandari nchini. Aidha, tarehe 25 Oktoba, 2022 Serikali ilisaini makubaliano na Serikali ya Dubai (Inter-Governmental Agreement - IGA).
Mheshimiwa Spika, utekelezaji wa mkataba wa kibiashara unakwenda katika hatua mbalimbali. Hatua ya kwanza ni mkataba kati ya nchi na nchi (Intergovernmental Agreement - IGA) ambao tayari umesainiwa. Mkataba huo unaweka msingi wa Serikali za pande mbili kuanza majadiliano kuhusu maeneo ya uwekezaji.
Baada ya kusainiwa kwa mkataba huo, majadiliano yataendelea kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za nchi ili kuhakikisha kwamba uwekezaji huo unakuwa na tija kwa nchi. Matarajio ya Serikali ni kuwa majadiliano hayo yatafikia tamati mwishoni mwa mwezi Desemba, 2022.
Mwisho wa Kunukuu.
Hivyo basi Watanzania tusimtafute mchawi wa suala hili kwani aliyeileta kampuni hii na kuipenyeza serikalini ni Mhe. Shangazi ambaye ni Katibu wa Wabunge wa CCM ambaye ametumia ushawishi wake alionao ndani ya Chama na Serikali kuileta kampuni hii na kumchafua Rais wetu Samia Suluhu Hassan.
Mbunge Shangazi ni Mbunge wa Mkoa wa Tanga amepigia debe ili bandari zote ziuzwe kwa kampuni hiyo ambayo inasemekana yeye wadau wake wamepewa donge nono kuhakikisha kampuni hiyo inanunua bandari zote na kuendesha kwa miaka isiyojulikana.
View attachment 2649962
Rashid Shangazi- Mbunge wa Mlalo
😂😂 hivi mkuu unaijua DP world kweli hadi mbunge wa TZ awe share holder kwenye hiyo kampuni kweli au unatutania 😂MBUNGE, Rashid Shangazi anatajwa kuwa ndiye Dalali wa Kampuni ya DP World inayotaka kuuziwa bandari zote Tanzania isipokuwa za Zanzibar tu, Shangazi alianza kuipigia debe na baadaye kuwaleta nchini na kukamilisha hiyo dili ambalo limezua mgogoro mkubwa Tanzania.
Ushahidi wa ni SWALI NA 58 LA TAREHE 4 NOVEMBA, 2022 ambapo kwa mujibu wa Tovuti ya Bunge, Mbunge huyo aliuliza
"58. MHESHIMIWA RASHID ABDALLAH SHANGAZI (MLALO) :Atamuuliza Mheshimiwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi: Je, ni lini utekelezaji wa Mkataba wa Kibiashara kati ya Serikali na Kampuni ya Dubai World utaanza"
Serikali kupitia Naibu Waziri wa Ujenzi( ATUPELE MWAKIBETE ALIJIBU NAKUU)
United Republic of Tanzania
Primary Questions
MHE. RASHID A. SHANGAZI aliuliza: -
Je, ni lini utekelezaji wa Mkataba wa kibiashara kati ya Serikali na Kampuni ya Dubai World utaanza?
Answer
NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI (MHE. ATUPELE F. MWAKIBETE) alijibu: -
Mheshimiwa Spika, kwa niaba ya Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, naomba kujibu swali la Mheshimiwa Rashid Abdallah Shangazi, Mbunge wa Mlalo, kama ifuatavyo: -
Mheshimiwa Spika, mwezi Februari 2022 Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), ilisaini Hati ya Makubaliano (MoU) na Kampuni ya Dubai Port World (DP-World) ya Umoja wa Falme za Kiarabu, kuhusu uwekezaji katika maeneo ya bandari nchini. Aidha, tarehe 25 Oktoba, 2022 Serikali ilisaini makubaliano na Serikali ya Dubai (Inter-Governmental Agreement - IGA).
Mheshimiwa Spika, utekelezaji wa mkataba wa kibiashara unakwenda katika hatua mbalimbali. Hatua ya kwanza ni mkataba kati ya nchi na nchi (Intergovernmental Agreement - IGA) ambao tayari umesainiwa. Mkataba huo unaweka msingi wa Serikali za pande mbili kuanza majadiliano kuhusu maeneo ya uwekezaji.
Baada ya kusainiwa kwa mkataba huo, majadiliano yataendelea kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za nchi ili kuhakikisha kwamba uwekezaji huo unakuwa na tija kwa nchi. Matarajio ya Serikali ni kuwa majadiliano hayo yatafikia tamati mwishoni mwa mwezi Desemba, 2022.
Mwisho wa Kunukuu.
Hivyo basi Watanzania tusimtafute mchawi wa suala hili kwani aliyeileta kampuni hii na kuipenyeza serikalini ni Mhe. Shangazi ambaye ni Katibu wa Wabunge wa CCM ambaye ametumia ushawishi wake alionao ndani ya Chama na Serikali kuileta kampuni hii na kumchafua Rais wetu Samia Suluhu Hassan.
Mbunge Shangazi ni Mbunge wa Mkoa wa Tanga amepigia debe ili bandari zote ziuzwe kwa kampuni hiyo ambayo inasemekana yeye wadau wake wamepewa donge nono kuhakikisha kampuni hiyo inanunua bandari zote na kuendesha kwa miaka isiyojulikana.
View attachment 2649962
Rashid Shangazi- Mbunge wa Mlalo
Shida mkuu hapo ni waarabu na ni waislam,watu wameingiza udini hapo kimtindo japo wanajificha,ila binafsi ni mdau wa mambo ya bandari naijua vizuri sana dar port na nazifahamu kampuni zinazowekeza kwenye bandari duniani kwa sasa maana serikali nyingi zinaachana uendeshaji wa bandari,kuna kampuni 2 kubwa ndizo zinazoendesha hiyo miradi kwa ulaya na asia na sasa zinaanza kuja africa,kuna euro gate ya germany na hao DP world ya dubai,hao DP management yao inaongozwa na waholanzi na waingereza,shida inakuja wengi wao wasioitaka hawajui taratibu zozote za kibandariTuache fitna tuseme ukweli Waarabu ni IQ kubwa.
hapa ni kukaa kwa kutulia ili sindano ituingie kwa utaratibu bila kutingishika.Baada ya JPM kuondoka Kingmakers wote washajikusanya + Deal Makers; na ni kweli ni ubunifu wa hali ya juu, maana Bandari ni moneymaker; kashelf company kameanzishwa Mauritius hao wote wamepata Share zao watakula mgao milele - SASA ndiyo mtajua yule bwana alikuwa katili kwa nini!!
Hiyo Takukuru unaziamini kazi zake?Takukuru walienda kule Dubai au wao hawakwenda?
Nahisi kuna mgao pia huko Takukuru
Ngoja DpWorld waanze kazi utaona sifa watakazomwagiwaShida mkuu hapo ni waarabu na ni waislam,watu wameingiza udini hapo kimtindo japo wanajificha,ila binafsi ni mdau wa mambo ya bandari naijua vizuri sana dar port na nazifahamu kampuni zinazowekeza kwenye bandari duniani kwa sasa maana serikali nyingi zinaachana uendeshaji wa bandari,kuna kampuni 2 kubwa ndizo zinazoendesha hiyo miradi kwa ulaya na asia na sasa zinaanza kuja africa,kuna euro gate ya germany na hao DP world ya dubai,hao DP management yao inaongozwa na waholanzi na waingereza,shida inakuja wengi wao wanaokuja hawajui taratibu zozote za kibandari
huyu mshua akaandamane na wapwa zake wenye maslahi ya moja kwa moja hapo bandarini....TZ nchi ya amani tu wacha warabu wabebe kombe laoSiyo lazima unifuate mimi...
Mbowe amesema ataitisha maandamano ya nchi nzima.
Nategemea kukuona mstari wa mbele kabisa yakiiva...
Nchi hii inahitaji mashujaa kama wewe. Wenye makovu ya risasi kama akina Tundu Lissu
Kila la heri ng'wanangwa!
Anao rafiki yakoHuo mkataba uko wapi?
Kiukweli bandari yetu imedorora mno plus wizi na uvivu wa waajiriwa wa bandari watu hawajui tuNgoja DpWorld waanze kazi utaona sifa watakazomwagiwa
Hawa Jamaa wanaziendesha Bandari hadi za Wazungu Wakristo.
Chuki za kumchukia Mwarabu ni za kijinga kinachotakiwa ni kumuiga jinsi anavyoendesha mambo.
CAG kila mwaka anasema mabilioni yamepotea Waarabu hawajiibii kijinga kama sisi Wabantu.
Ngoja tuingie Wazee wazima tupige mzigoKiukweli bandari yetu imedorora mno plus wizi na uvivu wa waajiriwa wa bandari watu hawajui tu
Huu ni UPUMBAVU wa hali ya juu...MBUNGE, Rashid Shangazi anatajwa kuwa ndiye Dalali wa Kampuni ya DP World inayotaka kuuziwa bandari zote Tanzania isipokuwa za Zanzibar tu, Shangazi alianza kuipigia debe na baadaye kuwaleta nchini na kukamilisha hiyo dili ambalo limezua mgogoro mkubwa Tanzania.
Ushahidi wa ni SWALI NA 58 LA TAREHE 4 NOVEMBA, 2022 ambapo kwa mujibu wa Tovuti ya Bunge, Mbunge huyo aliuliza
"58. MHESHIMIWA RASHID ABDALLAH SHANGAZI (MLALO) :Atamuuliza Mheshimiwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi: Je, ni lini utekelezaji wa Mkataba wa Kibiashara kati ya Serikali na Kampuni ya Dubai World utaanza"
Serikali kupitia Naibu Waziri wa Ujenzi( ATUPELE MWAKIBETE ALIJIBU NAKUU)
United Republic of Tanzania
Primary Questions
MHE. RASHID A. SHANGAZI aliuliza: -
Je, ni lini utekelezaji wa Mkataba wa kibiashara kati ya Serikali na Kampuni ya Dubai World utaanza?
Answer
NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI (MHE. ATUPELE F. MWAKIBETE) alijibu: -
Mheshimiwa Spika, kwa niaba ya Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, naomba kujibu swali la Mheshimiwa Rashid Abdallah Shangazi, Mbunge wa Mlalo, kama ifuatavyo: -
Mheshimiwa Spika, mwezi Februari 2022 Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), ilisaini Hati ya Makubaliano (MoU) na Kampuni ya Dubai Port World (DP-World) ya Umoja wa Falme za Kiarabu, kuhusu uwekezaji katika maeneo ya bandari nchini. Aidha, tarehe 25 Oktoba, 2022 Serikali ilisaini makubaliano na Serikali ya Dubai (Inter-Governmental Agreement - IGA).
Mheshimiwa Spika, utekelezaji wa mkataba wa kibiashara unakwenda katika hatua mbalimbali. Hatua ya kwanza ni mkataba kati ya nchi na nchi (Intergovernmental Agreement - IGA) ambao tayari umesainiwa. Mkataba huo unaweka msingi wa Serikali za pande mbili kuanza majadiliano kuhusu maeneo ya uwekezaji.
Baada ya kusainiwa kwa mkataba huo, majadiliano yataendelea kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za nchi ili kuhakikisha kwamba uwekezaji huo unakuwa na tija kwa nchi. Matarajio ya Serikali ni kuwa majadiliano hayo yatafikia tamati mwishoni mwa mwezi Desemba, 2022.
Mwisho wa Kunukuu.
Hivyo basi Watanzania tusimtafute mchawi wa suala hili kwani aliyeileta kampuni hii na kuipenyeza serikalini ni Mhe. Shangazi ambaye ni Katibu wa Wabunge wa CCM ambaye ametumia ushawishi wake alionao ndani ya Chama na Serikali kuileta kampuni hii na kumchafua Rais wetu Samia Suluhu Hassan.
Mbunge Shangazi ni Mbunge wa Mkoa wa Tanga amepigia debe ili bandari zote ziuzwe kwa kampuni hiyo ambayo inasemekana yeye wadau wake wamepewa donge nono kuhakikisha kampuni hiyo inanunua bandari zote na kuendesha kwa miaka isiyojulikana.
View attachment 2649962
Rashid Shangazi- Mbunge wa Mlalo
KIBIBI utafute uusome uone kuna pahala panasema hamna kujitoa ni kama Ndoa ya mke mkiristo ukiingia kutoka ni balaaHuo mkataba uko wapi?
"Muheshimiwa mwenyekiti wetu Ntu wa dili kachukua ushuru kuniziba n'domo kanipa afutatu kataa braza" -Suleiman Mohamed