Tetesi: Mbunge Shangazi ana ubia na Kampuni ya DP World

Mbona wanauza vya Tanganyika tu ?
 
😂😂 hivi mkuu unaijua DP world kweli hadi mbunge wa TZ awe share holder kwenye hiyo kampuni kweli au unatutania 😂
 
Tuache fitna tuseme ukweli Waarabu ni IQ kubwa.
Shida mkuu hapo ni waarabu na ni waislam,watu wameingiza udini hapo kimtindo japo wanajificha,ila binafsi ni mdau wa mambo ya bandari naijua vizuri sana dar port na nazifahamu kampuni zinazowekeza kwenye bandari duniani kwa sasa maana serikali nyingi zinaachana uendeshaji wa bandari,kuna kampuni 2 kubwa ndizo zinazoendesha hiyo miradi kwa ulaya na asia na sasa zinaanza kuja africa,kuna euro gate ya germany na hao DP world ya dubai,hao DP management yao inaongozwa na waholanzi na waingereza,shida inakuja wengi wao wasioitaka hawajui taratibu zozote za kibandari
 
Hizi Bandari za Dar Bagamoyo na Kilwa ziliasisiwa na Waarabu kwa ajili ya Biashara na Watumwa sisi tumeshindwa kuziendesha tumebakia kuiba tu.

Wacheni Waarabu wenyewe warudi kuziendesha.
 
hapa ni kukaa kwa kutulia ili sindano ituingie kwa utaratibu bila kutingishika.
 
Ngoja DpWorld waanze kazi utaona sifa watakazomwagiwa

Hawa Jamaa wanaziendesha Bandari hadi za Wazungu Wakristo.

Chuki za kumchukia Mwarabu ni za kijinga kinachotakiwa ni kumuiga jinsi anavyoendesha mambo.

CAG kila mwaka anasema mabilioni yamepotea Waarabu hawajiibii kijinga kama sisi Wabantu.
 
Siyo lazima unifuate mimi...

Mbowe amesema ataitisha maandamano ya nchi nzima.

Nategemea kukuona mstari wa mbele kabisa yakiiva...

Nchi hii inahitaji mashujaa kama wewe. Wenye makovu ya risasi kama akina Tundu Lissu

Kila la heri ng'wanangwa!
huyu mshua akaandamane na wapwa zake wenye maslahi ya moja kwa moja hapo bandarini....TZ nchi ya amani tu wacha warabu wabebe kombe lao
 
Kiukweli bandari yetu imedorora mno plus wizi na uvivu wa waajiriwa wa bandari watu hawajui tu
 
Huu ni UPUMBAVU wa hali ya juu...
Huyu mbunge si waziri wala rais ambaye alisaini huu upumbavu.
Iki unachokifanya ni kumfichia aibu Mh. Rais wakati haisaidii ni kwamba hapa mama ametuuza bila haya wala aibu.

Alafu muwe na hofu hata ya ubinadamu maana Mungu hamumjui kutetea mauaji ya namna hii ili rais akuone laana yake ukipona wewe uzao wako na uendako haitakuacha... tuache unafki akikosea achwmanwe wazi wazi rais sio mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…