Tetesi: Mbunge Shangazi ana ubia na Kampuni ya DP World

Stuka! Utaandika mengi ila baada ya muda hawa jamaa kuanza kazi rasmi ndio utaona impact yake. Hapa sasa wewe ulikuwa unapendekeza nani apewe hiyo biashara! Je ana uwezo viwango vya kimataifa kama DP World! Acha kupotosha watu na kujipotosha wewe mwenyewe hili ni suala la kitaifa kwa maendeleo ya taifa kwa ujumla wake pimbi wewe!
 
Kamchafuaje rais wenu kwani alimlazimisha kusaini huo upuuzi? Semeni tu rais wenu ndo anawabeba hao waarabu msianze kutafuta mchawi
 
Watanzania tumfuate huyu Mbunge anaitwa Rashid Shangazi kutoka Tanga ndio anao mchongo mzima wa namna Kampuni ya DP World ilivyopatikana hadi kuzusha mgogoro mkubwa kitaifa wa kuuza bandari za Tanganyika
View attachment 2649975
SIYO MBUNGE, tulieni na CCM tu, tulieni na aliyeweka mkakati wa kiligeuza bunge la Chama KIMOJA lisilo na meno.
 
Siyo Maendeleo ya kitaifa bali maendeleo ya Waarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…