Samia anajisahau sana, hajui ndege inaangukaHuyu moja kwa moja anamlenga Makamu wa Rais Dr. Emmanuel Nchimbi, huyu ametumwa na Samuya
Damu waliyomwaga inawasumbua.Wakigombana sisi ndo furaha yetu
Wacha wagombane tu.
Hakuna aliyewachagua, walijiapisha kwa jeshi
Muarabu akipeleka malalamiko juu yako(mweusi) defender nzima itakuja kukuchukuwa. Nenda wewe kalalamike juu yake Muarabu watakufukuza. Hata muuza chipsi kuku atamuuzia mwarabu kabla yak🤣😂wakati mwingine “ubaguzi” ina positive side, na ndiyo maana uki practiced dunia nzima, kama tungekuwa “wabaguzi” hawa arabs wasingetamba hivi kwenye nchi yetu, tungewatenga kwa makusudi kabisa na wangekuwa omba omba …
Hivi tulilaaniwa au?Muarabu akipeleka malalamiko juu yako(mweusi) defender nzima itakuja kukuchukuwa. Nenda wewe kalalamike juu yako Muarabu watakufukuza. Hata muuza chipsi kuku atamuuzia mwarabu kabla yak🤣😂
hilo ni pumbafu tu.Kwahiyo yeye humo bungeni kazi yake ni kutetea serikali na Samia dhidi ya Yuda??
Anaaripoti Zungu Mgalilaya
View attachment 3600055
Mbunge na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu (Zanzibar), Ndg. Simai Mohammed Said, amezua taharuki bungeni leo baada ya kushusha makombora mazito ya kisiasa dhidi ya kiongozi mmoja ndani ya serikali ambaye hakumtaja jina moja kwa moja na akambatiza jina la "Yuda" kwa madai ya kumsaliti Rais Samia Suluhu Hassan, kuvuruga safari za kisiasa za watendaji, na kutumia jina la hayati Rais John Magufuli kujitafutia huruma ya umma.
Akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Fedha kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027, Simai amewasihi wabunge na serikali "kuamka" na kutoumia moyo na propaganda zinazoenezwa na kiongozi huyo kwenye nyumba za ibada. Simai amerejea kauli ya aliyekuwa Naibu Waziri Mkuu, Dkt. Doto Biteko, aliyewahi kusema "binadamu ni wale wale," lakini akasema yeye ameamua mmoja wao kumbatiza jina la Yuda Iskariote kutokana na tabia yake
Link :
View: https://www.facebook.com/reel/885931224536362/
Je kiongozi huyo ni nani? How safe is the government kama tumefikia hatua hii?
Huyo katumwa Kuja kupima upepoHapo kutakuwa na karipoti ka usalama kamepelekwa kwamba nchimbi ni msaliti. Sasa mtanange umefika penye we.
Hatijafyata mkia sio uliona MO29 bali tumefyatishwa na vyombo vya dola kwa kutuua,but we are resisting passivelyWatanganyika tumeshageuzwa machawa na hawa watu wasio na visogo. Kujitenga na samia mnywa damu unaonekana Yuda.
Vizazi vijavyo vitatudharau sana kama tunavyowadharau ma chifu waliotuuza kwa wakoloni. Tena bora hao machifu, Sisi tumefyata mkia kwa mwanamke kabisa.
Gwajima ni mpiga dili tu anatuzuga watanzania kama anavyo wazuga waumini wake.
Lakini kwanini Tanzania ina viongozi wa hovyo sana🤣🤣 kwanini hamjadili kuleta maisha bora kwa wananchi. Na mnaishia kujadili kiazi Gwajima🤣