Mbunge Simai: Kuna Yuda Msaliti ndani ya Serikali hili anatafuta huruma kanisani

wakati mwingine “ubaguzi” una positive side, na ndiyo maana uko practiced dunia nzima, watu wote wanaojitambua wana "ubaguzi" i.e wanajipendelea wao kwanza na kuwatenga kwa makusudi ambao wako tofauti, kama tungekuwa “wabaguzi” hawa arabs wasingetamba hivi kwenye nchi yetu, tungewatenga kwa makusudi kabisa na wangekuwa omba omba, lkn wanaingia mpaka ndani ya bunge letu, hawakupaswa kuruhusiwa kwa hali ya kawaida …
 
wakati mwingine “ubaguzi” ina positive side, na ndiyo maana uki practiced dunia nzima, kama tungekuwa “wabaguzi” hawa arabs wasingetamba hivi kwenye nchi yetu, tungewatenga kwa makusudi kabisa na wangekuwa omba omba …
Muarabu akipeleka malalamiko juu yako(mweusi) defender nzima itakuja kukuchukuwa. Nenda wewe kalalamike juu yake Muarabu watakufukuza. Hata muuza chipsi kuku atamuuzia mwarabu kabla yak🤣😂
 
Katumwa na kundi la Msoga
 
Hatijafyata mkia sio uliona MO29 bali tumefyatishwa na vyombo vya dola kwa kutuua,but we are resisting passively
 
Gwajima ni mpiga dili tu anatuzuga watanzania kama anavyo wazuga waumini wake.

Lakini kwanini Tanzania ina viongozi wa hovyo sana🤣🤣 kwanini hamjadili kuleta maisha bora kwa wananchi. Na mnaishia kujadili kiazi Gwajima🤣


Jamaa hasemi Gwajima. Anamsema nchimbi wazi wazi kabisa. Nchimbi naye ngoja akome. Wewe ni katibu mkuu unakubalije kuruhusu MTU anatumia short cut kupata urais sababu tu amekuhonga makamu wa rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…