Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Naomba nisiseme ukaishia kusikia nimenyakuiwa!.Mkuu P wewe unafikiri ni nini hatma ya hili sakata? Je kwa upande utakaoibuka mshindi watanufaika kwa lolote? Je kwa upande wa Taifa kuna manufaa yeyote?
Huyo Don ni mkubwa kuliko hata vyombo vyetu vya kutulinda?..Its true!, ila kuna vitu huwezi kufanya!,
Ni the Don ndiye aliyecheza ile game yeye akaingia!
Ni the Don aliyefadhili ile trip ya Filamu ya Royal Tour1
Ni the Don aliyefadhili Expo Dubai!.
Ziara zote za nje, ni the Don ndie anabeba fuko la hela for for any incidental!.
Kama ni kweli ni the Don ndie aliyemsafishia njia, akionekana ni kiwingu, njia itasafishwa tena!.
P
Siasa watu wanapambania familia zao mzee dunia ikoMkuu P wewe unafikiri ni nini hatma ya hili sakata? Je kwa upande utakaoibuka mshindi watanufaika kwa lolote? Je kwa upande wa Taifa kuna manufaa yeyote?
Kwani tuna vyombo sisi?,Huyo Don ni mkubwa kuliko hata vyombo vyetu vya kutulinda?..
Don ni nani 😁Hii habari ina ukweli naskia Don kawekwa pembeni kamwambia unaniaribia hii nimeipata leo viunga vya dodoma wewe jamaa unakuaga na za ndani kabisa salute mkuu
RostamDon ni nani 😁
Haji kheir yupo nyuma yake aogope nini ?Huyu ndie alie mjibu Dr mwinyi mitandaoni, huyu jamaa ana jeuri sijui inatoka wapi, muda ni hakimu mzuri
Ukiona kifaranga juu ya chungu, basi ujue mama yake yuko ndani.
View: https://youtu.be/19L2quNw-HE?si=GdG_QmcH6Dlo20rV
Wanasema Magufuli alimpeleka nchi ya mbali!!
View attachment 3600149
Kuna jitu linaenda kulamba udongoTulipofikia ni hatari
Kama mbunge unasimama bungeni kumwita Yuda makamu wa Rais aisee na ni wachama chako
2030 ndio Sababu kuu...Kumbe yeye ndiye kamtoa January
Tutajua mengi
Makonda hakutupwa mbali huko,bali alijitupa mwenyewe baada ya kuacha Uarasii na kwenda kugombea ubunge ambao aliukosaHajasema alitumwa bali kasema alitupwa mbali huko. Na Nchimbi hajalelewa na familia ya mtu tofauti na wazazi wake.
Kwenye Serikali hii Nchimbi ndiyo angalau ana moral compass. Anao uwezo wa kuweka mguu chini inapobidi. The rest ni hopeless sons and daughters of bitches!
View: https://youtu.be/19L2quNw-HE?si=GdG_QmcH6Dlo20rV
Wanasema Magufuli alimpeleka nchi ya mbali!!
View attachment 3600149
TISS ni chawa wa Abdul, bora hata mgambo wa city wanaweza kuamua mambo kwa faida ya Tanganyika.Wazanzibar wanajiona kama washaiteka Tanganyika na TISS ipo TU inaangalia Tanganyika yetu inavyobagazwa
Its true!, ila kuna vitu huwezi kufanya!,
Ni the Don ndiye aliyecheza ile game yeye akaingia!
Ni the Don aliyefadhili ile trip ya Filamu ya Royal Tour1
Ni the Don aliyefadhili Expo Dubai!.
Ziara zote za nje, ni the Don ndie anabeba fuko la hela for for any incidental!.
Kama ni kweli ni the Don ndie aliyemsafishia njia, akionekana ni kiwingu, njia itasafishwa tena!.
P