Mbunge Simai: Serikalini kuna Yuda, huko nyuma amewahi kutajwa ni mzigo, amewaumiza watu wengi

Don huyo anachelewa nini kusafisha njia? Au ndo ile hadi mambo yaharibike sanaa?/
 
Don mwenyewe usha mjua? Je ndie deep state au ni zaidi ya deep state?

Kati yake na Cheki-Bobu nani anaweza kusafisha njia?
Don huyo ndio anaweza kumkata ngebe cheki bobu na akatuliaa.
Don sio wa kispot spot, afu Leo kuna kitu nimegundua, huku nje unaweza mlaumu mtu kwa ukubwa wake, kumbe yeye ana mkubwa wake wa sirini.
Alooooh!!
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Tulipofikia ni hatari
Kama mbunge unasimama bungeni kumwita Yuda makamu wa Rais aisee na ni wachama chako
Nimeshangaa sana πŸ˜„

Hawa wameshaua watanzania now wanataka kuchinjana wenyewe Kwa wenyewe

Ndio maana watu Huwa wanakemea uovu Kwa maana uovu ukiachwa huota mabawa
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Mroho

Hata Mimi mwenyewe nilishangaa sana alipoonyesha text ya late magufuli , nikasema huyu jamaa anatafutia public tension hakuna kitu kingine anataka apewe priority na wananchi πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Kumbe bwana na wenyewe kina bimsumi wamelishtukia hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…