Mbunge Simai: Serikalini kuna Yuda, huko nyuma amewahi kutajwa ni mzigo, amewaumiza watu wengi

Duh sijui watafikishana wapi imma na sammy
 
Now I understand
 
Kachemka sana,hawana vikao vya chama!Huenda katumwa,Maana kaongea Kwa kujiamini sana .
 
Wameficha fiche wee kuwa kuna valangati huko sasa imekuwa bayana kuwa Samia na Nchimbi wanazinguana. Samia kaamua kumtuma mbunge wake toka Tunguu apasue bomu ndani ya bunge.
Angekaa kimya ingebaki maneno ya mtaani, ila kwa kuanza kushughulika na hili amethibitisha yale yaliyokuwa yanazungumzwa. Inaonyesha watu wana taarifa sahihi kwa yanayoendelea ndani.
 
https://www.facebook.com/
View: https://web.facebook.com/reel/1579135223935435
 
Mkuu P wewe unafikiri ni nini hatma ya hili sakata? Je kwa upande utakaoibuka mshindi watanufaika kwa lolote? Je kwa upande wa Taifa kuna manufaa yeyote?
So kama main character aliye waweka wote ni the don na huyo the don ndiye aliyechangia Taifa kuwa hivi lilivyo ..so do you think Taifa litapata kipi Cha maana zaidi ya wao kujinufaisha wenyewe Kwa wenyewe
 
Ngoja tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…