Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anayetafuta vyanzo vipya vya umeme ni wizara ya nishati. Lakini pia mashirika yake kama TPDC katika masuala ya gesi na mafuta na tanesco katika masuala ya teknolojia.Mimi niulize swali, ni nani anahusika na kufanya tafiti kwa ajili ya vyanzo vipya vya umeme hapa Tanzania?
Hoja hii iliwahi ,kutolewa na watu wengi tu akiwemo Zitto.Kabwe...nafikiri.kuna hoja!What if kwa maono yake mtoa pendekezo kuigawanya TANESCO makampuni matatu tofauti itaongeza tija na ufanisi?
Uzalishaji - Shirika lake
Usafirishaji - Shirika lake
Usambazaji - Shirika lake.
Tukiachana na ubishani ambao tunaweza kuufanya hapa, kwa maoni yangu TANESCO kwa sasa wanafanya kazi nyingi mno.
Ili kuongeza tija, hata kama litabaki kuwa Shirika moja, liongezewe uwezo kwa kiwango kikubwa sana kwa maana ya rasilimali watu, teknolojia, miundombinu, fedha n.k
Vinginevyo tuligawe ili tupate mashirika matatu yatakayoshugulika na maeneo madogo madogo kwa ufanisi mkubwa.
Kwa hali ilivyo sasa hii TANESCO sidhani kama itaweza kui'accommodate Tanzania ya kweli ya viwanda na mradi wa treni ya umeme.
Muda utaongea.
Mtoe kabisa Zitto Kabwe katika think tank wako, atakupoteza.Hoja hii iliwahi ,kutolewa na watu wengi tu akiwemo Zitto.Kabwe...nafikiri.kuna hoja!
Anayetafuta vyanzo vipya vya umeme ni wizara ya nishati. Lakini pia mashirika yake kama TPDC katika masuala ya gesi na mafuta na tanesco katika masuala ya teknolojia.
Financing ya hayo mashirika matatu itakuwaje?What if kwa maono yake mtoa pendekezo kuigawanya TANESCO makampuni matatu tofauti itaongeza tija na ufanisi?
Uzalishaji - Shirika lake
Usafirishaji - Shirika lake
Usambazaji - Shirika lake.
Tukiachana na ubishani ambao tunaweza kuufanya hapa, kwa maoni yangu TANESCO kwa sasa wanafanya kazi nyingi mno.
Ili kuongeza tija, hata kama litabaki kuwa Shirika moja, liongezewe uwezo kwa kiwango kikubwa sana kwa maana ya rasilimali watu, teknolojia, miundombinu, fedha n.k
Vinginevyo tuligawe ili tupate mashirika matatu yatakayoshugulika na maeneo madogo madogo kwa ufanisi mkubwa.
Kwa hali ilivyo sasa hii TANESCO sidhani kama itaweza kui'accommodate Tanzania ya kweli ya viwanda na mradi wa treni ya umeme.
Muda utaongea.
Kimsingi sina shida na kuimarisha kampuni katika sehemu tatu kama alivosema mh.mbunge. Shida inakuja kwenye modal ya utekelezaji tukiingiza private sector tumepigwa hii nchi naijua utadhani mamangu [emoji23][emoji23][emoji1787]xx
Alichosema Abbas Tarimba sio kipya kabisa...
Hata ukisoma Tanzania Power Syetem Mster Plan (TPSMP) hivyo imependekeza kwa miaka mingi sasa!!
Kama kumbukumbu zangu zipo sawa (TPSMP) ilianzishwa ama awamu ya Mkapa au KIkwete!
Wakati wa JPM nao ikawa updated lakini versions zote bado zinazungumzia suala alilosema Tarimba!
Hata suala la uwepo wa independent power producers kwa sasa ni kutokana na hiyo Tanzania Power System Master Plan!
Katika awamu zote, serikali imekuwa na kigugumizi kwenye
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787] isije kuwa zugawaziri mkuu kamtemea mate
Hoja ya Zitto ya miaka nenda rudi, maccm yanaibuka nayo leo bila hata ya kuacknowledge kuwa hii akili si ya kwao, pumbavu kabisaMbunge wa Kinondoni, Tarimba Gulam Abbas amehoji ikiwa Serikali haioni ni muda mwafaka wa kulifumua Shirika la Umeme (TANESCO) ili kuwe na Kampuni tatu kwa ajili ya kufanya Generation Uzalishaji, Usafirishaji na Usambazaji kama ilivyo Nchi nyingine.
Akimjibu, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kukatwa na kutolewa kwa maeneo hayo kwa watu tofauti kunaweza kuleta athari kwenye Usalama wa Nchi pale Umeme unapohitajika wakati wote na mmoja ya waliopewa jukumu awe anaenda kinyume na mipango, hivyo malengo kushindwa kufikiwa.
Amesema kwa Hali iliyopo Nchini, maeneo yote ya Uzalishaji umeme yanaendelea kufanya hivyo lakini changamoto ni miundombinu ambayo hata sasa inapeleka baadhi ya maeneo kukatiwa Umeme.
Rea vip sio tawi la TanescoKama inashindwa kuperform leo ikiwa chini ya komandi moja hiyo ya sauti tatu unaona itakuwa na tija? Suala la vyeo ni tatizo kwani vyeo siyo majina zina gharama Kama hilo hulijari basi kuna tatizo mahali.
Hata kama kungekuwa na taasisi ya kuzalisha umeme bado kusingekuwa na ongezeko la umeme kama uwekezaji hauongezeki.Kosa inaanzia hapo kwa maoni yangu, kungekwepo na taasisi ambayo inahusika na tafiti kuhusu vyanzo mbalimbali za umeme.
Pia kungekwepo na taasisi unayojitegemea kwa ajili ya uzalishaji pekee, TANESCO iachiwe kazi ya kusafirisha na kusambaza kwani unapotegemea kitu kutoka kwa taasisi nyingine lazima umakini ufanyike ili kuepuka hasara kwa kila pande
Sio lazima ikiwa break up eti wapewe wawekezaji binafsi,hata ikiwa kama REA sawa..Mbunge wa Kinondoni, Tarimba Gulam Abbas amehoji ikiwa Serikali haioni ni muda mwafaka wa kulifumua Shirika la Umeme (TANESCO) ili kuwe na Kampuni tatu kwa ajili ya kufanya Generation Uzalishaji, Usafirishaji na Usambazaji kama ilivyo Nchi nyingine.
Akimjibu, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kukatwa na kutolewa kwa maeneo hayo kwa watu tofauti kunaweza kuleta athari kwenye Usalama wa Nchi pale Umeme unapohitajika wakati wote na mmoja ya waliopewa jukumu awe anaenda kinyume na mipango, hivyo malengo kushindwa kufikiwa.
Amesema kwa Hali iliyopo Nchini, maeneo yote ya Uzalishaji umeme yanaendelea kufanya hivyo lakini changamoto ni miundombinu ambayo hata sasa inapeleka baadhi ya maeneo kukatiwa Umeme.
Ni tawi la tanescoRea vip sio tawi la Tanesco
Rea siyo tawi la TanescoRea vip sio tawi la Tanesco
UmekoseaNi tawi la tanesco
Mimi ni mzee lakini kusoma siachi tuendelee.Umekosea
Huyu mama kwa mtego huu sijuwi tuendele kupiga rakaa maana hawa jamaa wana utamu tamuu.Duh!! Hawa jamaa wanamdharau Sana Mama.
Naamini angalau hili ataliepa.