Mbunge wa Arusha Godbless Lema atembelewa na Wema Sepetu Nyumbani kwake

Umejuaje kuhusu mshubaki wake mheshimiwa warumi hebu funguka kidogo
 
Ameshakwambia hata angepewa nafasi nyingine ya kuoa bado angemuoa Mke wake.Imekula kwako.

Utasubiri sana.Unapenda ubuyu utachonga viazi.
Na kweli inabidi amuoe maana wamekutana wakiamua jambo wanashirikiana kama walivyoamua kumtusi yule shoga ya Neema
 
Sugu sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
We unataka nini cocochanel!?


Ninaheshimu ID yako wewe na wengine wachache sana humu. Au unataka kuninunulia gari na kunipa dereva? Pia utanipeleka huko uliko unitoe kwenye vumbi la nchi hii? Sababu posts zako nyingi za kiulaya ulaya.
 
Reactions: BAK
Tangu aondoke chama cha mashetani Wema anazidi kuwa mzuri.....
 
Shukrani sana kwa heshima. Nimetabasamu hiyo ya post za ki ulaya ulaya lol! Niliulizia kama unataka chadema wakufanyie hayo ili uachane na MACCM. Nakuheshimu pia. [emoji120][emoji120][emoji120]

Ninaheshimu ID yako wewe na wengine wachache sana humu. Au unataka kuninunulia gari na kunipa dereva? Pia utanipeleka huko uliko unitoe kwenye vumbi la nchi hii? Sababu posts zako nyingi za kiulaya ulaya.
 
huyu binti na mama ake walidhani Wao ndio maarufu zaidi ya ccm..ninavyoona maarufu wao unashuka at decreasing return.
 
Shukrani sana kwa heshima. Nimetabasamu hiyo ya post za ki ulaya ulaya lol! Niliulizia kama unataka chadema wakufanyie hayo ili uachane na MACCM. Nakuheshimu pia. [emoji120][emoji120][emoji120]


Oooh ahsante, sina chama ninachoshughulika nacho, hivyo sina pa kuhamia. Nakumbuka tu kuwa na zile kadi ya za enzi za tukiwa na chama kimoja nikiwa boarding school, baada ya kuambiwa na hao walimu sijui nani waliomba twende kwenye ofisi ya chama kinachotawala tukapewa ikawa basi.
 
Reactions: BAK
Ngoja kwanza kamanda mkuu ajisevie hilo tyako, "I wish I cud be comrade....."
 
Picha zinapendeza kwelikweli!
Hakika Godbless Lema ni kipenzi cha watu siyo Arusha tu baali Tanzania yote na dunia nzima!
Kitendo cha kumweka mahabusu miezi 4 ni kama kimeongeza umaarufu wa Lema mara dufu!!!!Poleni sana CCM na Magufuli wenu!!!
 


Hivi kwenye halo kapicha.muheshimiwa kama kadinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…