Mbunge wa Arusha Godbless Lema atembelewa na Wema Sepetu Nyumbani kwake

Ndoa ya Lema matatani.
Katika hizo picha kuna mojawapo Lema lazima akajibu kwa mkewe. Pole Lema.
Akili zenu ndiko huko zinakoishia.,Huyo (binti) wa Kamanda ninamfaham kitambo tangu asoma,ni mwelewa,makini na jasiri hana hayo mawazo yenu ya kifisiem.
 
Akili zenu ndiko huko zinakoishia.,Huyo (binti) wa Kamanda ninamfaham kitambo tangu asoma,ni mwelewa,makini na jasiri hana hayo mawazo yenu ya kifisiem.

Kiingereza wanasema "a picture speaks a thousand words". So much for a "wrong/incorrect" pose innocent or otherwise especially nyakati hizi za instant reporters. Look very utaona na wewe
 
....
.....Kamanda MUNGU ni Mwema....Makamanda wa UK wanakusalimia sana
 
Unataka BAVICHA wachanganyikiwe? bills zake kwa siku moja Zaidi ya 1M....CHADEMA kazi mnayo
.....
....mmameeye kaaa na umaskini wako niko London 30% la boksi na Mvualism kwa Makamanda....kalime mihogo nanjilinji inalipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…