Wema Sepetu anaitumbua tu ruzuku ya chama ...makamanda waliopigania chama kama Yericko Nyerere wametoswa wanapiga miayo tu....poleni sana
LllNdoa ya Lema matatani.
Katika hizo picha kuna mojawapo Lema lazima akajibu kwa mkewe. Pole Lema.
chakula ya chama
LllNdoa ya Lema matatani.
Katika hizo picha kuna mojawapo Lema lazima akajibu kwa mkewe. Pole Lema.
chakula ya chama
Alikua bize na kisomo cha mabibo. Unajua bibo hata halina kiingereza chake?Usiumize kichwa, hao na namba moja wao wote mabogas tu, inabidi uwe na akili za ziada kuamini PhD hajui ngeli hata kwa dakika 2 wakati kasoma kuanzia f4 hadi PhD kwa ngeli, ila PhD huyu anashindwa kusimana na mtu aliyetoka kwa Ras Simba
LllNdoa ya Lema matatani.
Katika hizo picha kuna mojawapo Lema lazima akajibu kwa mkewe. Pole Lema.
chakula ya chama
Kumbe ndiyo sababu alipwanyima Mkapa kesi ya Sembe,mnalaana nyie.Haya nendeni na nyie mkapime "Sugu" basi.
Alafu singida line ile ile! Kazi kweli kweliMuda utasema mengi. Ila kwa hilo jicho, ndo yake si salama tena
Mbavu zangu hahahahaWe thubutu, unataka kumjaribu kamanda mbowe??
lema atapata ila asubiri hadi zamu ya kamanda mbowe iishe, ebo!
Ooooh ndio ilivyokuwa huko kwenu asante kwa kutufumbua masikio na macho kumbe ndio zenu eee asante sana tulikuwa hatujui sio kwa mpovu huuchakula ya chama
Ndo ccm walikuwa wanakula? Kwahiyo chakula kimeondoka? Pole sana......chakula ya chama
kumbe kuondoka kwake kimewaumaee hahaaa tutawajua tu kwa maneno yenuWe thubutu, unataka kumjaribu kamanda mbowe??
lema atapata ila asubiri hadi zamu ya kamanda mbowe iishe, ebo!
Kumbe Ccm mnavyotendwa? Ili kiwe nini sasa viti maalum au Ukuu wa Wilaya?.@Juliana Shonza mbona mimba bado hamjampatiaChezea makamanda wewe, watapeana zamu hadi kieleweke!
Jela haina mwenyewe hata hao wanaofunga inafika muda nao wanaswekwa ndani.Wema ajifunze maisha ya Makamanda maana Jela kwao ni kitu cha kawaida.
Kama alivyokuwa chakula cha chama twawalachakula ya chama
Akajibu nini mkuu?Ndoa ya Lema matatani.
Katika hizo picha kuna mojawapo Lema lazima akajibu kwa mkewe. Pole Lema.
HUU SASA USENGEREMA!Ndoa ya Lema matatani.
Katika hizo picha kuna mojawapo Lema lazima akajibu kwa mkewe. Pole Lema.
Kama mama yako alivyo chakula ya Lumumba.chakula ya chama