Huyo mbunge na serikali ya awamu ya 5 hawana uwezo wa kufufua hicho kiwanda.Kiwanda cha kutengeneza matairi cha General Tyre kiliwahi kuwa na mchango mkubwa Sana katika uchumi wa mkoa wa Arusha na Taifa kwa ujumla...
Hili suala liwe la wabunge wote,sio wa Arusha tu. Hiki kiwanda ni muhimu sana.Kiwanda cha kutengeneza matairi cha General Tyre kiliwahi kuwa na mchango mkubwa Sana katika uchumi wa mkoa wa Arusha na Taifa kwa ujumla...
Serikali ilikuwa kwenye mchakato huo na walikua hatua za mwisho. Nashangaa kwa nini wako kimya?Ipo haja ya kuhakikisha kuwa kiwanda kinarejea kwenye uzalishaji kama hapo awali.
Mbunge mmoja alisema badget yote iliyotengwa kwa ajili ya biashara na viwanda haitoshi kufufua kiwanda cha general tire kwani Kutaitajika ufungaji wa mashine mpya za tubeless kuendana na technology ya sasaNi vyema tukapata msimamo wa serikali kuhusiana na hili,
Yule akuwa mbunge, lilikuwa ni shati tu lililotundikwa kwenye kamba.Mkimbizi Lema alikaa miaka 10 ya ubunge lakini akashindwa kukifufua
Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
Ipo haja ya kukipa kipaumbele hiki kiwanda kama bajeti ya wizara husika haitoshelezi.Mbunge mmoja alisema badget yote iliyotengwa kwa ajili ya biashara na viwanda haitoshi kufufua kiwanda cha general tire kwani Kutaitajika ufungaji wa mashine mpya za tubeless kuendana na technology ya sasa
Hawana huo uwezo. We elewa hivyo tu.Kwanini mkuu