Kinyungu
Platinum Member
- Apr 6, 2008
- 22,912
- 46,240
Asielewa maana haambiwi maana. Endelea kusubiri wafufue.Nielewe tu bila kupewa maelezo?
Asielewa maana haambiwi maana. Endelea kusubiri wafufue.Nielewe tu bila kupewa maelezo?
Nafikiri wameshaliona hili ndio maana kuna kautulivu.Duh,
Ngoja tusubirie majibu ya serikali kuhusiana na hili.
Naunga mkono hojaKiwanda cha kutengeneza matairi cha General Tyre kiliwahi kuwa na mchango mkubwa Sana katika uchumi wa mkoa wa Arusha na Taifa kwa ujumla..
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu,kwa wale tuliofanya kazi GTEA LTD tunajuwa fika kiwanda hakiwezi kufufuliwa kutokana na sababu nyingi.Kiwanda cha kutengeneza matairi cha General Tyre kiliwahi kuwa na mchango mkubwa Sana katika uchumi wa mkoa wa Arusha na Taifa kwa ujumla...
Hicho nacho sio vibaya tukakifufua,Msema kweli ni mpenzi wa Mungu,kwa wale tuliofanya kazi GTEA LTD tunajuwa fika kiwanda hakiwezi kufufuliwa kutokana na sababu nyingi.
Kujenga tairi siyo maskhara...
Sahihi kabisa mkuu ni vyema wakakifufua,
Hi nchi ndugu zangu ni taniri sana ...Sio vibaya wakatuambia wamefikia wapi kuhusiana na hili kukaa kimya haisaidii .
Kwani kazi yake kama mbunge ilikuwa kufufua kiwanda?Mkimbizi Lema alikaa miaka 10 ya ubunge lakini akashindwa kukifufua
Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
Kiwanda cha kutengeneza matairi cha General Tyre kiliwahi kuwa na mchango mkubwa Sana katika uchumi wa mkoa wa Arusha na Taifa kwa ujumla...
Mkuu,
Kwani wao Yana tyres wanajiendeshaje??
Kwanini kiendeshwe kwa hasara?Yana ni kiwanda kilichojengwa kwa msukumo wa mbunge? Hicho kiwanda cha General Tyre nakijua na historia yake niliipata kwa jamaa yangu ambaye baba yake alikuwa mtaalamu hapo. Kwa maelezo ya baba yake aliposikia hicho kiwanda kinafufuliwa enzi Za JK alisema, hapo yamebaki majengo, na kwa technology ya sasa ni kuweka mitambo mipya na sio kufufua mitambo iliyopo kwani ni ya technology ya zamani..
Kwanini kiendeshwe kwa hasara??
Mkuu hapa ulichoelezea ni hisia tu za kwanini kitaendeshwa kwa hasara,Kwa vyovyote hicho kiwanda kikifunguliwa na serikali ambayo sidhani wataweza, ila wakiweza kitaendeshwa kisiasa na sio kitaalam, kwa vyovyote vile kitatoa matairi yenye ubora duni...
Akifuatilia ni tag.Kiwanda cha kutengeneza matairi cha General Tyre kiliwahi kuwa na mchango mkubwa Sana katika uchumi wa mkoa wa Arusha na Taifa kwa ujumla...
Hivi ni kiwanda gani cha umma kilichofufuliwa na kikafanya kwa ufanisi ?!Hili suala liwe la wabunge wote,sio wa Arusha tu. Hiki kiwanda ni muhimu sana.