Hivi ni kiwanda gani cha umma kilichofufuliwa na kikafanya kwa ufanisi ?!
Nauliza tu. Naona Mwatex , Mutex, Ngozi nk vikiwa godowns. Ndiyo iwe General tyres ?!. SIJUI
Mkuu,
If the state is serious everything is possible, but if the matter is being handled in political perspective it won't effectively work because after many of them were privatized, some of the owners are politicians with direct economic gain so they must be exerting some resistance to protect their interests.
We need all the privatized industries to be revived to be able to employ as many as possible Tanzanians of all education backgrounds to alleviate the current economic hardship they are encountering and blaming fingeres pointed to the government for failing to keep their promises as manifested while vying for state administration.
Kama ulivyoanisha kwa uchungu kutofanya kazi kwa viwanda tajwa kama MUTEX, MWATEX, SUNGURA TEXTILE, URAFIKI, Morogoro, Tanneries (Mwanza, Morogoro na Moshi), Tanzania Machinery Equipments (Moshi), TAMCO (Kiwanda cha kuunda magari makubwa kutoka nchi za Skandinavia kama Scania Nk), TANITA, Tanzania leather products (viatu, mikoba, mikanda nk), Tancut (Kiwanda cha kukata madini ya Almasi-Iringa), viwanda vya nyuzi za katani Tanga na Morogoro, Kiwanda chabati na nondo ALAF kwa sasa kiko chini ya mwekezaji wakati bei ya bidha iko juu, Kiwanda cha viberiti-Kibo Match-Moshi, Karakana ya treni na vipuri Morogoro (wakati miundo mbinu ya reli hiyo kutoka Kilosa hadi Kidatu imetelekezwa na baadhi ya mataruma ama kuzolewa na mvua au kuibiwa wa wauza chuma chakavu.
Siasa za vyama vingi badala ya kujikita kuibua hujuma kama hizi matokeo yake zimejikita kuondoa uzalendo kwa wananchi hivyo kusababisha taarifa kutotolewa kwa mamlaka husika kwa wakati ili kukabiliana natatizo husika mpaka itokee tu mtu mmoja kaona na kwa mapenzi yake anaibua uharibifu huo kwa njia zisizo za moja kwa moja kwa hofu ya kutafutwa na wanufaika ili kumdhuru mtoa taarifa.