Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,353
- 22,963
Kuna miji ina wabunge wa Ccm na viwanda vimekufa !! eg Morogoro , Tanga na Mwanza . Ndiyo uje umsingizie Lema ?! Utakuwa na uwehuMkimbizi Lema alikaa miaka 10 ya ubunge lakini akashindwa kukifufua
Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
Gwajima naye atufufulie tanganyika packers kawe hapaMkuu hapa ulichoelezea ni hisia tu za kwanini kitaendeshwa kwa hasara,...
Mkuu hapa ulichoelezea ni hisia tu za kwanini kitaendeshwa kwa hasara...
Tujue kwanza nani alikifikisha hapo kilipo?? Je ni serikali ya Ccm yenyewe?? Kama ilivyofanya pale walipoziuza nyumba zetu za umma mpaka kwa mahawala zao na kisha kuhadaa kwa kujenga nyingineNi vyema tukapata msimamo wa serikali kuhusiana na hili,
Mkuu Stroke,Kiwanda cha kutengeneza matairi cha General Tyre kiliwahi kuwa na mchango mkubwa Sana katika uchumi wa mkoa wa Arusha na Taifa kwa ujumla...
Kiwanja kingekuwa Chato kingeshafufuliwa siku nyingi sana.Kiwanda cha kutengeneza matairi cha General Tyre kiliwahi kuwa na mchango mkubwa Sana katika uchumi wa mkoa wa Arusha na Taifa kwa ujumla...
Mkuu,Hivi ni kiwanda gani cha umma kilichofufuliwa na kikafanya kwa ufanisi ?!
Nauliza tu. Naona Mwatex , Mutex, Ngozi nk vikiwa godowns. Ndiyo iwe General tyres ?!. SIJUI
Hakuna kitu atafanya huyo mbunge wa kuteuliwa na Magufuli. Kiwanda hakifufuliwi kwa siasa za u-ccm, mbona hao hao ccm ndio wako madarakani kwa enzi na enzi lkn kiwanda kimekufa.?
Mbunge hafufui viwanda vilivyokufa kutokana na sera mbovu hiyo sio kazi ya mbunge.
Gharama za uzalishaji Tanzania kuwa juu ya mataifa mengi na mfumo mbaya wa kodi haviwezi vikafanya mwekezaji yeyote serious aje kuwekeza katika nchi hii na ndio maana viwanda vingi vilivyokufa vimeshindwa kupata wawekezaji.
Mtabaki kuwaonea wabunge tu kama vile wao ndio walivyoviua hivyo viwanda. Matairi yakitoka nje pamoja na kulipiwa ushuru mkubwa lkn bado yatauzwa kwa bei nafuu kuliko yatakayozalishwa hapo.
Gwajima naye atufufulie tanganyika packers kawe hapa
Ova
Mkuu Imeloa,,Hakuna kitu atafanya huyo mbunge wa kuteuliwa na Magufuli. Kiwanda hakifufuliwi kwa siasa za u-ccm, mbona hao hao ccm ndio wako madarakani kwa enzi na enzi lkn kiwanda kimekufa.?
Mbunge hafufui viwanda vilivyokufa kutokana na sera mbovu hiyo sio kazi ya mbunge.
Gharama za uzalishaji Tanzania kuwa juu ya mataifa mengi na mfumo mbaya wa kodi haviwezi vikafanya mwekezaji yeyote serious aje kuwekeza katika nchi hii na ndio maana viwanda vingi vilivyokufa vimeshindwa kupata wawekezaji.
Mtabaki kuwaonea wabunge tu kama vile wao ndio walivyoviua hivyo viwanda. Matairi yakitoka nje pamoja na kulipiwa ushuru mkubwa lkn bado yatauzwa kwa bei nafuu kuliko yatakayozalishwa hapo.
Ni sahih kuliko kutegemea matair toka nje wachina wanaingiza matair kila siku na wame establish makapuni yao ikiwa naonesha kwamba this business pays sanaKiwanda cha kutengeneza matairi cha General Tyre kiliwahi kuwa na mchango mkubwa sana katika uchumi wa mkoa wa Arusha na Taifa kwa ujumla.
Kili generate ajira nyingi za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja.
Shughuli za kiuchumi zilichangamka kiasi chake.
Baada ya kusimamishwa shughuli zake mkoa umepata pigo kwa kweli kwani shughuli za kitalii nazo ni za msimu.
Namkumbusha tu mbunge wa Arusha mjini , akifika bungeni kikao kijacho asiache kuulizia serikali kuhusiana na kukifufua kiwanda hiki.
Biashara Tanzania ni ngumu sana kwa sababu ni moja ya nchi ambazo gharama za uzalishaji ni kubwa sana.Mkuu Imeloa,,
Hapa umeingiza siasa kinzani ambazo ukuziendekeza haziwezi kuleta tija kama mtizamo wako ni huo siku zote.
Kwa taarifa yako sauti ya mbunge bungeni ni kusema uhalisia wa mahitaji ya wananchi kijamii, kiuchumi na kiusalama ndipo serikali inayachakata mawazo na mapendekezo yenye tika kwa maslahi ya taifa ndipo kiongozi wa utendaji katika sekta husika (waziri) husimama kujibu hoja kwa niaba ya serikali na kuahidi kuyafanyia kazi kisha kamati husika za bunge hushirikishwa kujadili na kuboresha kwa kuzingatia matakwa ya kisheria. Kama kuna umhimu wa sheria kurekebishwa mswada wa sheria huandaliwa na serikali kupitia wizara husika na kupelekwa bungeni ili wawakilisha wa wananchi wajadili kama kuna ulazima wa kupitisha kwa matumizi.
Kwa hiyo mitazamo inatakiwa ibadilike iwe chanya kwa pamoja mawazo mbadakla hurekebisha kwa tija badala ya kuponda kila linalopendekezwa kinyume na sera za ukinzani.
Kumbuka vuta nikuvute haina tija kwa maendeleo ya watu na vitu
Naunga mkono hoja Ila kilichokuwepo kipewe kipaumbele Cha Kwanza.Soko kubwa la matairi Tanzania na nchi zinazotuzunguka ni ishara tosha kiwanda cha tairi kinahitajika Tanzania,si lazima hichi cha General Tyre.
Serikali ifanye juhudi kupata mwekezaji wa nyanja hiyo ili Tairi zipatikane kwa bei nafuu,kodi na ajira kwa raia wake.
Kiwanda cha matairi kijengwe KIGOMA na IRINGASoko kubwa la matairi Tanzania na nchi zinazotuzunguka ni ishara tosha kiwanda cha tairi kinahitajika Tanzania,si lazima hichi cha General Tyre.
Serikali ifanye juhudi kupata mwekezaji wa nyanja hiyo ili Tairi zipatikane kwa bei nafuu,kodi na ajira kwa raia wake.