Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Hawawezi kuzika tofauti zao mgambo ana baraka zote kutoka kwa maguMm nashauri itafutwe njia ya wawili hao Lema na Gambo wakae na kuzika tofauti zao na kila kiongozi afanye majukumu yake bila kuingilia majum ya mwingine tunataka arusha isonge mbele kimaendeleo bila malumbano ya viongozi wa kuchaguliwa na kuteuliwa
Arusha ilitulia wakati fulani hadi mikutano mikubwa ya kimataifa ikarudi ......sasa hivi mmeanza tena siasa zenu za kipuuzi.....
Siasa za nani zaidi hazitatufikisha popote.!
Huyu RC kuna kitu anakitafuta Arusha....
Haha boss anaomba OC kwenye kamati ya fedha ya halmashauri ?Mtamtafuta kick mpaka gizani
Lakini Gambo kiboko ya Wapuuzi.
Lema ana kazi kwa Gambo
Lazima aelewe Gambo ni bosi wake
Apende asipende
Na Arusha gambo haondoki ng'o
Magesa ndo yule alikuwa Arusha alikuwa anapambana sana na Lema ?kuna siku nimekutana kwenye basi naelekea Dar amechoka sana mpaka huruma
Wanajisahau sana wakishatumika wanatupwa huko namwonea huruma sana Gambo huko Arusha nguvu anayotumia kupambana na Lema badala ya kufanya kaziYupo Mkuu mmoja wa wilaya nayeye hakuteuliwa safari hii,
nilikutana nae kwenye basi la mwendokasi nae kashika bomba,
Mpaka anatia huruma uwa wanajisahau sana hawa jamaa.
Halmashauri ya Jiji la Arusha ipo chini ya chama gani?Arusha kwa kumchagua criminal hamtakaa mpate maendeleo
Arusha ilitulia wakati fulani hadi mikutano mikubwa ya kimataifa ikarudi ......sasa hivi mmeanza tena siasa zenu za kipuuzi.....
Siasa za nani zaidi hazitatufikisha popote.!
wakubwa gani?Kwa jinsi anavyomuombea mabaya Rais wetu hakika Lema anatakiwa kunyea debe ili ajifunze adabu kwa wakubwa
Huo mgogoro hauna faida kwa wananchi kila mtu afanye kazi kwa kuheshimu mipaka yake.
Gambo anatakiwa kujua huu siyo muda wa siasa
Alikuwa anatafuta kazi kwenye kampuni lakini wenye kampuni wanasema 'hawa waliofikia ngazi kubwa serikalini siyo wa kuwaajiri, huwa ni wasumbufu'.Wengi labda wanafikiria watadumu kwenye nafasi hizo aisee Magesa Mulongo alikuwa anapambana sana na Lema leo hayupo tena ameshasaulika