Tetesi: Mbunge wa Arusha Mjini pamoja na Meya wasakwa na Jeshi la Polisi

Mtoa mada umeandika kishabiki sana, #chagadema# #chagadema#
 
Acha kuandika vitu vya hovyo hovyo, mkuu wa mkoa awalazimishe polisi wamkamate lema ili iweje,kama anaitajika na jwshi la polisi taratibu zipo
Ndo umeandika nini? Rudia kusoma unakimbizwa?
 
Lakini ujue pia kuwa biashara ya utalii pamoja na uchumi wake ni very very delicate and fragile... One mistake once done has massive negative effects..!


 
Hata ingekuwa ni mimi ningemwambia hakuna nafasi kabisa kama angekuwa na vigezo vyote wanajiona malaika sana
 
Lema anataka kwenda magereza na ninaona Gambo kamgomea maana kale kamchezo kake kule jela anamekamic[emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Arusha Gambo anaonekana kituko......ni kati ya viongozi wa siasa anae dharaulika hapa arusha
 

Nadhani ni wakati mwafaka Rais achukue maamuzi sahihi.
Gambo ni mteure wake anao uwezo wakumpeleka popote hata ampe uwaziri mkuu kama ni kipenzi chake lakini hili la kupandikuza chuki si kitu kizuri.
Lema ni mwanasiasa, Gambo ni mtendaji anahitaji busara ya ziada kama atataka kufanikiwa Arusha.
Ntibenda hakuwa mjinga kuiongoza Arusha kwa akili na maarifa, alikuwa na vyombo vya dola lakini alitumia diplomasia zaidi hivyo ndg yangu Gambo ajifunze kwa aliye mtangulia itamsaidia sana. Asishindane na wanasiasa, wao wanachokiona siku zote ni uchaguzi ujao (next election), kiongozi anaona kizazi kijacho (next generation). Hivyo basi kila mmoja ajitambue kwa manufaa ya wanachi na si ya vyama vyenu.
 
Alaaah, kumbe
 
Bila shaka Mrisho Gambo atakuwa na matatizo ya kiafya au ya kishamba , mnamkamataje mke wa mtu kwa sababu za kishamba kama hizo ?
 
Mtamtafuta kick mpaka gizani
Lakini Gambo kiboko ya Wapuuzi.

Lema ana kazi kwa Gambo
Lazima aelewe Gambo ni bosi wake
Apende asipende
Na Arusha gambo haondoki ng'o
Hivi anavyozomewa kama kanyinyea humuonei huruma?

Basi mtakuwa mmemloga maana Arusha hatunaga kubadiri jina la rangi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…