Tetesi: Mbunge wa Arusha Mjini pamoja na Meya wasakwa na Jeshi la Polisi

Lema akamatwe na afunguliwe mashitaka kwa kauli inayoashiria kutaka kumuua rais kwa kisingizio cha Mungu kumbe wao chadema ndiyo wanapanga na wanajiumbua kwa kauli zao tatanishi
Kauli ipi hiyo? Kumwombea mtu ndo kutaka kumuua?
 
Magesa ndo yule alikuwa Arusha alikuwa anapambana sana na Lema ?kuna siku nimekutana kwenye basi naelekea Dar amechoka sana mpaka huruma
Ha haaa haaaa.... alikuwa hataki nyumba ya mkuu wa mkoa mza na akaamua kukaa Malaika hoteli kwa mapesa kibao..... malipizi ni hapa hapa Dunia....
 
Kwenye my take hapo.
Aliyechaguliwa na mtu mmoja ambaye kapigiwa kura na tz nzima au mmoja aliyechaguliwa na jimbo moja tena kwa ushindan??? Bila kupata kula zote??????? Mleta mada hunaga akil na wewe mpiga dil
 
Kwa Mbunge kama Lema Arusha wamepata hasara sana...inashangaza nchi hii kumchukua mvuta bange kisha ukamfanya mbunge
 
Lakini Lema akisema Magufuli ni dikteta ambaye anaweza kupigwa shaba,kiusalama haijakaa sawa...Pengine Lema ana mpango wa kumuua Magufuli?

Siasa za upinzan hiv sasa ni kama walevi walevi wasiojitambua.

Wanatia huruma sana
 
Kuhusu simu ya Neema inayotumiwa na Godbless.

Kwa mujibu wa sheria ya T.C.R.A., ni kosa kwa Athumani kusajili simu na kumpa Bhoke atumie?
 
Maana ya shoga ni (1)mtu ambaye hana hisia za kike (ii) Rafiki uliyeshibana naye kiurafiki(hasa utumiwa na wanawake) ...tafsiri ipi iliyoleta ukakasi
 
Rumour mongering!
 
gambo ni kitu gani.Asiharibu arusha yetu.Na kingine sisi sio watu kuchezewa.Its matter of time,utaondoka kwenda ikulu ukilia.
 
Vibaraka wa lema mko wachache sana. Endeleeni na ujinga wenu. Elewa lema amechaguliwa kwa kura chache kuliko raisi na gambo ni mwakilishi wa raisi. Ukiweza kutofautisha vitu hivyo viwili basi.
 
Ntibenda alikuwa anafanya kazi sana Arusha wakamwondoa kwa sababuu chuki za vijana wa chama chao.
Mkuu wa Mkoa anatakiwa mtu mwenye busara na hekima.
 
mkulu anatakiwa kumwelewesha kijana wake wajibu wake na namna ya kufanya kazi. wasifikiri sehemu zote ziko sawa. kinachotakiwa ni maendeleo. mwenye kuleta maendeleo ni mwananchi kwa msaada wa wananchi. je tukienda kiuhalisia kati ya mteuliwa na mchaguliwa nani ambaye yuko karibu na wananchi? maana yake ni kwamba mchaguliwa ameaminiwa na waliomchagua hivyo kulumbana huko siyo faida kwa wananchi. gambo fanya mambo yako, epuka ugomvi kwa kisingizio cha aliyekuteua. nadhani hata katika uraisi inawezekana hakua chaguo la hao watu. kama ni hivyo jitafakarini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…