Mbunge wa CCM apendekeza Vyuo Vikuu vianze kutoa Nusu Degree kwa Wanafunzi wanaoishia njiani

Bado watataka kila mbunge anayeingia kwenye Bunge la Tanzania atununukiwe PhD ya heshima
 
Kwa nilivo elewa mimi ni kwamba wapewe cheti cha degree ila kiwe kiwe kimechanwa katikati,
 
Hii Nchi kmmk, huenda hata Mungu mwenyewe alishaitelekeza na kuisahau kitambo sana.
 
Wasukuma ndio watu pekee huwa wanajisifia kutokuwa na elimu au kutosoma ni sifa yupo huyu na musukuma. Na wote ni vituko huko bungeni. Wasukuma ni washamba sana ila sio wote.
 
Atleast kaongea hoja though hakua na uwezo wa kuifafanua kama ulivofanya wew, hii ni kwakua anapungukiwa vitu flani vya kitaaluma

Hoja yake ni mhimu kufanyiwa kazi
 
Wasukuma ndio watu pekee huwa wanajisifia kutokuwa na elimu au kutosoma ni sifa yupo huyu na musukuma. Na wote ni vituko huko bungeni. Wasukuma ni washamba sana ila sio wote.
Wanaishi uhalisia, na wanaonekana kua na utimamu wa akili kuliko wanaojinasibu kua wasomi

Unadhani wasomi wameivusha nchi ukilinganisha na enzi za akina MKWAWA?
 
kwa kigezo cha kujua kusoma na kuandika yupo sahihi
 
Mtu kuwa na Pesa Bila elimu

Kuna mahali atakwama

Kishimba Pesa anayo elimu kubwa Hana

Pesa Bila elimu kubwa lazima mtu atachemka tu na Pesa zake kuonyesha kuwa yeye Mjinga wa kutupwa

Kishimba ana biashara nyingi tu Tena kubwa Kuna mahali aliongea bungeni kuwa ana watoto wamemaliza degree Lakini kazi hawajapata Serikalini

Nilichoka na uzee ule Hana succession plan kama wahindi, waarabu na wapemba kuajiri watoto wake wenye digrii waendeshe biashara sababu yeye ni darasa la saba tu

Mbona Bahkheresa darasa la pili tu kakabidhi wanawe waendeshe biashara zake zote alipowasomesha akaona wasomi akawapisha

Kuwa na Pesa Bila elimu kama mwenye Pesa haiitambui kama huyo mbunge kishimba Mali na Pesa zake haziwezi kuwa na future ya muda mrefu ya generations kama business za wazungu ,wahindi ,waarabu na wapemba

Iliniuma sana anaongea bungeni kuwa watoto wake wamemaliza digrii na hawana ajira

Eee Mungu warehemu watoto wa tajiri na mbunge Kishimba waliomaliza digrii na baba Yao hataki hata kuwapa ajira na kuwapa uongozi kwenye Kampuni zake

Mzee Kishimba mnoko sana Kwa watoto wake

Hizo Mali atazikwa nazo roho mbaya huyo Mzee Kwa wanawe
 
Mi Nadhani walimalize tu hamna hoja tena
 

Attachments

  • aed6353915a14b0ca49e4e0215534bcc.mp4
    1.4 MB
System na standard ya elimu haijui, haya ni matokeo ya kuchagua wabunge wasin na elimu.
 
Nami nashauri tukopeshwe digirii.
 
Kuna kitu Kishimba alitaka kukisema ,na inawezekana nikizuri kabisa ila ameshindwa namna yakukiweka ili aeleweke. Ajipange vizuri siku nyingine akiseme kwani Kuna mantiki flani anayo kwenye hilo
 
Hawa Wabunge wa kuteuliwa na MAGUFULI ni janga la TAIFA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…