Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atleast kaongea hoja though hakua na uwezo wa kuifafanua kama ulivofanya wew, hii ni kwakua anapungukiwa vitu flani vya kitaalumaHuyo Kishimba ana degree? Aambiwe suala la degree lina context ya international calibration of educational qualifications. Sasa hizo nusu degree nani atazitambua, serikali ya CCM peke yake ndani ya mipaka ya Tanzania?
Angekuwa na akili angesema angalau wapewe diploma au certificates, lakini kufanya hivyo huamui tu, inabidi chuo kifanye reconfiguration ya course, ukiishia mwaka wa tatu mfano, ikubalike hiyo ni equivalent to diploma.
Na kama angekuwa na akili sana, angesema wapewe mitihani ya equivalent course ya diploma
Kuna wabunge wanaongea utafikiri walisahau akili nyumbani
Wanaishi uhalisia, na wanaonekana kua na utimamu wa akili kuliko wanaojinasibu kua wasomiWasukuma ndio watu pekee huwa wanajisifia kutokuwa na elimu au kutosoma ni sifa yupo huyu na musukuma. Na wote ni vituko huko bungeni. Wasukuma ni washamba sana ila sio wote.
kwa kigezo cha kujua kusoma na kuandika yupo sahihiNi mbunge wa Kahama mh Kishimba
Amesema kama Mwanafunzi wa Degree ya miaka 4 akifika Mwaka wa 3 na kukosa Ada ya kuendelea na masomo basi Atunukiwe " Nusu Degree"
Source: EATV
CCM kuna Burudani sana 😂
====
Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa.
Amesema badala yake, wanavyuo walipiwe karo moja kwa moja kwa sababu wenye uhitaji wa kusoma ni wengi lakini wanakosa nafasi hiyo kutokana na kukosa karo.
Ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia kwenye makadirio ya bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.
Nami nashauri tukopeshwe digirii.Ni mbunge wa Kahama mh Kishimba
Amesema kama Mwanafunzi wa Degree ya miaka 4 akifika Mwaka wa 3 na kukosa Ada ya kuendelea na masomo basi Atunukiwe " Nusu Degree"
Source: EATV
CCM kuna Burudani sana 😂
====
Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa.
Amesema badala yake, wanavyuo walipiwe karo moja kwa moja kwa sababu wenye uhitaji wa kusoma ni wengi lakini wanakosa nafasi hiyo kutokana na kukosa karo.
Ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia kwenye makadirio ya bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.
Kuna kitu Kishimba alitaka kukisema ,na inawezekana nikizuri kabisa ila ameshindwa namna yakukiweka ili aeleweke. Ajipange vizuri siku nyingine akiseme kwani Kuna mantiki flani anayo kwenye hiloNi mbunge wa Kahama mh Kishimba
Amesema kama Mwanafunzi wa Degree ya miaka 4 akifika Mwaka wa 3 na kukosa Ada ya kuendelea na masomo basi Atunukiwe " Nusu Degree"
Source: EATV
CCM kuna Burudani sana 😂
====
Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa.
Amesema badala yake, wanavyuo walipiwe karo moja kwa moja kwa sababu wenye uhitaji wa kusoma ni wengi lakini wanakosa nafasi hiyo kutokana na kukosa karo.
Ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia kwenye makadirio ya bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.
Hawa Wabunge wa kuteuliwa na MAGUFULI ni janga la TAIFANi mbunge wa Kahama mh Kishimba
Amesema kama Mwanafunzi wa Degree ya miaka 4 akifika Mwaka wa 3 na kukosa Ada ya kuendelea na masomo basi Atunukiwe " Nusu Degree"
Source: EATV
CCM kuna Burudani sana [emoji23]