Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnamshangaa huyu.subirini wabunge WA miaka 20 ijayo KWA elimu tunayoendelea kuikumbatia.😃😃😃😃 na huko majimboni mwananchi anajigamba kwenye kimpumu anamubunge...da bandugu ni zaidi ya KUROGWA
WABUNGE wa BUNGE hili ukiwapeleka Kenya ni MADIWANIMbunge wa Viti Maalumu (CCM), Janejelly James ameishauri Serikali kuandaa eneo maalumu la viongozi kupumzika baada ya kazi akidai kuwa hivi sasa hali imebadilika kwa kuwa viongozi wameondolewa raha ya faragha na kusababaisha waonekane hawana maadili.
View attachment 2593046
Ni mjinga kama wajinga wengine!Habari za uzima wanajamii!
Naomba nielekee kwenye mada husika kama inavyosomeka, Hili suala limesikika leo kwenye kikao cha bunge baada mbunge mmoja kulifikisha bungeni kama hoja(Pendekezo) kwa spika wa bunge Mh. Tulia Aksoni akiiomba serikali iwape msaada wa ujenzi wa Hotel & Nightclub(Faragha) katikati ya mji wa Dodoma(Capital City) kwa kuhofia kuchangamana na wananchi ili kuepuka kuvuja kwa nakala za serikali pamoja na kulinda mazungumzo yao binafsi wanapokutana baada ya vikao vya siku kukamilika, Nakuendelea zaidi kuwa itakua ndio sehemu yao pekee kwa mapumziko kwa vipindi vyote wakiwa huko na kuongezea zaidi kwakua ofisi nyingi za serikali zimehamishia makazi yake kwenye mji huo wa Dodoma kwa hivyo itakua ni njia rahisi ya kukutana na watumishi wa ngazi za chini kutoka wizara na idara tofauti za kiserikali pasipo mashaka yoyote yale ambapo hali ni tofauti na ilivyo kwa hivi sasa..
Swali: Hii hela itakayoenda kutumika kukamilisha ujenzi huo, Endapo ombi litakubaliwa zitatoka kwenye fungu lipi la Mapato serikalini?
Hahahaaaa!!!!Hivi wanakumbuka hata kupeleka marejesho kule Chato??
Matatizo yao ndio muhimu, wataanza kuomba waongezwe posho. Hajui kazi ya mbunge ni nini, kwake starehe yao ndio ilimpeleka bungeniMbunge wa Viti Maalumu (CCM), Janejelly James ameishauri Serikali kuandaa eneo maalumu la viongozi kupumzika baada ya kazi akidai kuwa hivi sasa hali imebadilika kwa kuwa viongozi wameondolewa raha ya faragha na kusababaisha waonekane hawana maadili.
View attachment 2593046
Mh.Matatizo yao ndio muhimu, wataanza kuomba waongezwe posho. Hajui kazi ya mbunge ni nini, kwake starehe yao ndio ilimpeleka bungeni
Hizo akili zakujadili mambo ya msingi atazitoa wapi?.Hapo ndipo uwezo wake ulipoishia.kabisa yani anaacha kujadili mambo ya msingi anaongelea club mambo yaliyopitwa na wakati,siku hizi tekinolojia imekua sio kama zamani mambo ya kukutana sehemu for what?