Mbunge wa CCM (Tabora) amdhalilisha mkewe hadharani

Mwanamke hapa kazingua issues za ndani kaamua kuleta nje kama Mwanaume hiyo gut ya kutulia anatoa wapi?
Mwanamke kajileta mwenyewe kisa Mkwanja kumbe tunda anagawa kwa watu wengine Mbunge kagundua huo wizi kaamua kutimua mtu.
Guys remember kuona Rais wa Nchi, Waziri na hata Mbunge nae kuna vitu anahitaji kufanya kama wewe hapo ni katoka kwenye kundi letu huku.
 
Kumbe ni walewale mliolipwa mnakusanya kila upuuzi ili mhalalishe upumbavu wenu, nyie kweli hamna akili. Hata km ni kweli mnaunganisha vipi na hayo mengine. Mmeshachoka mnaokoteza kila puzi mtaani. Na mtachoka kweli wakati mama naupuga mwingi, kwanza mjitathmini minyau km nyie mnawezaje kumkwamisha rais kwa mfano, rais na manyau km nyie ni km mbingu na ardhi.
 
kifupi inonekana jamaa akiondoka kuna askari anamtogoa mkewe
sasa ikaonekana kama kamchzo na mpaka mnaona vihisishi vyote n kwamba jamaa kachoka kaamua mwanamke aende yaishe sasa kazi kwa wazee wa mahakama na talaka zao na migao yao kilala kheri Mh

Hawa watu wanatesa sanaaa wengine wameanza liwa na wachungaji ...wa kondoooobora askar atakupa hata ulinzi
 
Siwafagilii CCM ila huyu dada ni mpuuzi na anaonyesha hana adabu kabisa tusitetee ujinga.
 

Acheni kurukia maisha ya watu na kuhukumu watu kwa sababu mmeona clip ya sekunde kadhaa.

Hatujui chanzo ni nini na kwanini aliyerekodi karusha kipande hicho pekee
 
Mwanamke hana adabu huyu. Mwanamke ni pasua kichwa na hakufunzwa na mamaye Wala hakufunzwa. Na ndiye karekodi hii video. Mshenzi sana huyu mama
 
Timu ya Single mother's leo imepata mwanachama mpya ex- wa Mheshimiwa
 
Sasa hapo tatizo liko wapi? Wewe unamuita mtu tapeli kabla haijamuuliwa na mahakama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…