Kumbe mbunge wa chupi, apuuzwe tu.This is too much, hata kama ni ulevi wa madaraka hii imepita kiasi.
"Tuwaambie vyombo vya ulinzi na usalama kuna kenge wa ndani halafu kuna kenge wa nje. Shughulikeni na kenge wa ndani mmalize na hao wa nje. Imekuwa kuna vitoto hata vidogo...uhuru tunao Tanzania tunafanya tunachokitaka lakini sio kumgusa Rais wetu kwa vile mnavyotaka," alieleza Mbunge Tauhida Gallos, Viti Maalum (CCM), Mjini Magharibi.
Huyu mwanamke mpuuzi mwenye sura mbaya , ana Elimu gani huyu ??
Huyu kichwan kajaza matope ya aina gan ?
Yaan Wananchi wanaopaza Sauti zao dhidi ya Uovu na Uhuni unaoendelea ,unawaita KENGE ?
Yaan Ubinadamu wa MTU unauvua kiasi Cha kumfananisha na Kenge ?? Ili uhalalishe Utekaji na Mauaji dhidi ya watu Hawa kwakua ni Kenge ,Kenge Mnyama asokua na maana yoyote ??.
Huyu mpumbavu vipi huyu?? Ndio kalewa na Pesa ya Kukaa Bungeni Kimyaa miaka mitano ,Kapewa nafasi kaona nayeye aongee aonekane yumo ? Kalevywa na Pesa ya Bure Bure !!
Mbunge mbumbumbu, unawashauri Watekaji waendelee kufanya utekaji na Uuaji ??? Kwa Lugha ya kawaida, KWAKE YEYE UOVU UNAOENDELEA SIO TATIZO KIKUBWA ANAENDELEA KUA MBUNGE ??.
Katika Nchi zinazofuata Utawala wa Sheria, huyu mpuuzi alitakiwa Ajiuzulu mara Moja, ninawaonea sana Huruma Wananchi wa Jimbo lake, na Sijui ni viti MAALUMU !!
Ukitaka kumuuwa mbwa mpe jina bayaHuyu mwanamke mpuuzi mwenye sura mbaya , ana Elimu gani huyu ??