Mbunge wa Geita Mjini anatia mashaka. Anataka kusema Musukuma ni muongo?

Who is telling the truth - Kanyasu and Msukuma? Anyway, there are no wonders. They are birds of the same feather.
 
Mbona kwenye kampeini za mkulu misafara yake ilikuwa imesheeni magari hayo hayo ya bei mbaya,na hakuna aliyehoji.
Au Geita ndiyo halmashauri pekee yenye gari la aina hiyo nchini?.
Acheni kumtoa kafara mkurugenzi wa watu.
 
Inawezekana taratibu zilifutwa tu Kama mfumo,lakini nyuma ya pazia lilikua chezo,Sasa limegundulika!!
Ni kawaida yao kudanganya. Wamedanganya hadi uchaguzi wakiwemo na viongozi wa dini. Acha dhambi iwatafune.
 
Mbunge wa Geta Mjini anajikomba kwa mkuu maana huyo Mkurugenzi alosimamishwa kazi ana uhusiano na mkuu
 
Yaani wanavyowafukuza muda si mrefu wakaanza kuwaumbua! Hata huyu Msukuma wanaenda kusema sasa hivi kwamba bila sisi Msukuma usingekuwa mbunge maana ulikuwa umeangushwa!
Una maana gani boss? Yaani unabase upande wa Kanyasu kwa lipi? Ulikuwepo Kahangalala wakati anaombewa msamaha na JPM? Msukuma anakubalika sana tena usiulize,ukifika Nzera yote. Hapa hoja ya msingi ,je Msukuma ni Muongo?
 
Ni fisadi tu anayeweza kuongea bila uoga kuwa zile sh 400m zilitoka kwenye fedha za ndani hivyo ilikuwa halali kununua gari hilo.

Kanyasu angekuwa China kwa utetezi aliotoa kitanzi kingemuhusu!
Unatutia aibu na wewe.anayebarika manunuzi si ni ofisi ya waziri mkuu???
 
Hili swala tunaomba litchunguzwe vizuri kwa sababu kama taratibu zote zilifuatwa za kununua hiyo gari basi mkurugenzi huyo asionewe na kama ni mtendaji mzuri apate haki yake.Mh. Msukuma ni muongeaji mwenye maneno mengi na matam na kwa mara ya kwanza kumsikiliza unaweza ukamuamini.
Nilimsikiliza kidodo Mkurugenzi anayetajwa na kwa maelezo yake nadhani panatakiwa uchunguzi wa kina ili ukweli upatikane.
Labda swala liwe ni kwa nini ataembelee gari la gharama kiasi hicho ambalo hata viongozi waliopo juu yake hawana.
 
Hapana Kanyasu ni diwani wa halmashauri ya Geita mji wakati Msukuma ni diwani wa Halmashauri ya Geita yenye makao makuu yake Nzera.
Kamanda mkuu wa Cdm,hawa wote ni ni madiwani wa Geita district council.
 
Cha ajabu hela zilipokuwa zinatumika kununua wapinzani na chaguzi kurudiwa kwa mabilioni ya hela hatukuskia izi kelele zenu

Huu uzalendo wa kinafiki mi ndio ninaoukataa.
Hapana tunazungumzia mambo yenye ushahidi,,hili la wabunge kununuliwa mimi sina hakika,,labda utuletee uthibitisho
 
Hapana Kanyasu ni diwani wa halmashauri ya Geita mji wakati Msukuma ni diwani wa Halmashauri ya Geita yenye makao makuu yake Nzera.
Halmashauri ya Geita? Imeanza kazi lini? Mimi najua kuna mchakato wa kuanzisha halmashauri ya Nzera.
 
Cha ajabu hela zilipokuwa zinatumika kununua wapinzani na chaguzi kurudiwa kwa mabilioni ya hela hatukuskia izi kelele zenu

Huu uzalendo wa kinafiki mi ndio ninaoukataa.
Uchaguzi huwa unarudiwa kwa mujibu wa sheria,je bajeti ya kurudia uchaguzi mdogo huwa ni sh ngapi? Je huwa zinachachuliwa?
 
Kama kweli PM aliidhinisha ununuzi wa gari hili,alisahau nini kuwa gharama yake ni kubwa kuliko inavyotakiwa kwa gari la mkurugenzi? Is this one type of SACRIFICIAL PROTECTION?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…