Mbunge wa Geita Mjini anatia mashaka. Anataka kusema Musukuma ni muongo?

Nafahamu sana mkuu wa wilaya ni mmoja tu lakini Halmashauri ni mbili na majimbo ya uchaguzi ni matatu. Geita mjini, Geita vijijini na Busanda. Mchakato uliopo ni kuanzisha Wilaya kamili si Halmashauri tu ya Katoro/Buseresere. Nadhani umenipata
Ndio maana nakuambia kuna namna hapa. Any way tusubiri tume ya Jaffo.
 
Mleta mada, kumbuka kuwa Musukuma ni mbumbumbu wa darasa la 7 tu...yeye uwa anakurupuka tu vitu kama vile Trump.
 
Wakati wanasaidia kuiba kura nadhani utu ulikuwa likizo maana hutukuona post hizi wakati huo
 
DED mbuzi wa kafara tu

Ova
 
Mitano Teeena[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Na kama kuna wakurugenzi wengine wanalionunuliwa V8?

Amandla...
 
True, ila kumbukeni Gari kama hilo mara nyingi ni kwa ajili ya Council Chair, maana ni mtu mukubwa na anapoongozana na viongozi wakubwa na yeye awe na hadhi stahili. Hao ndio waliomshinikiza DED kununua gari hilo.
 
Unamlaumuje Mkurugenzi wa Halmashauri kutumia pesa ambayo haikiidhinishwa na baraza la madiwani ilhali Rais anatumia fedha ambazo hazijaidhinishwa na bunge?

Tukimuwajibisha Mkurugenzi, nani atamuwajibisha Rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…